Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

We Ni mbabaishaji tu km wengine.unahangaika sana.kimsingi huna hoja.
NI WA KUPUUZA.

We Ni mbabaishaji tu km wengine.unahangaika sana.kimsingi huna hoja.
NI WA KUPUUZA.
 
Subiri maamuzi ya rufaa,hiyo ndio akili na mtu makini.kubwabwaja humu hakusaidii.ww si mamlaka ya rufaa ya chadema.
 
Subiri maamuzi ya rufaa,hiyo ndio akili na mtu makini.kubwabwaja humu hakusaidii.ww si mamlaka ya rufaa ya chadema.
Are you a realist or a social constructionist?
Either way, do you see what the media is doing to demonise these women?
Stop there.
 
Tunasubiri kwa hamu sana maamuzi ya baraza kuu
Hawa wabunge wana lao jambo.Ni kwamba walikuwa muda wote wanajipanga kwa mashabulizi tusiojua.
Lakini wakishindwa kwenye appeal wataanza kuwanika kitu gani kilitokea hadi wakaapishwa.
Kama hao mama walitumika kwa aina yoyote tukifikiri watalialia tu kama mama wa kutumwa na kutii amri bila kuuliza some big shorts are in deep trouble.
 
Haahaa taasisi yoyote haiwezi haibika kwa kuadhibu wanachama wake ni uwongo, kumbuka zitto kabwe alitimuliwa chadema, pia membe alifurushwa ccm...
Chama kikishaonekana kina mikwaruzano ya ndani, watu wanaanza kujiuliza kama hawa kwenye chama tu wamekwaruzana hivi, wangepata nchi wangeweza kuiendesha?
 
Chama kikishaonekana kina mikwaruzano ya ndani, watu wanaanza kujiuliza kama hawa kwenye chama tu wamekwaruzana hivi, wangepata nchi wangeweza kuiendesha?
We Kiraga vipi?
Mbona unapotea sana.
Hebu leta mambo hapa!
Udadavuzi!
 
Wewe mleta huu uzi either ni kati ya hao covid~19 umeamua kupima maji kwa miguu.

Kwa taarifa yenu na nakushauri ichukue hii kutoka kwangu mimi Mmawia kuwa cdm hamna chenu na mtapigwa za shingo asubuhi mapema.

Cdm hatuna muda wa kulea virus ndani ya chama chetu kama nyinyi maana hamfai kuishi kwenye jamii ya watu wapenda amani na haki.
 
Bujibuji, haki ya mtu hauliwi!
Tulia sindano ikuingie!
Nakuonea sana huruma sana maana hata mimi nilikuwa na huruma na nyinyi makanjanja wa kisiasa lkn sasa kwa uzi wenu huu wa kitapeli nimebadili mawazo yangu.

Mtanikuta ukumbini na ndiyo mtajua kuwa wana cdm tumedhamilia kusafisha ghala. Hatuhitaji kuhifadhi watu waovu kama nyinyi.
 
Ukumbi gani wakati huna viatu vya safari?
Kanunue viatu kwanza.
 
Are a realist or a social constructionist?
Either way, do you see what the media is doing to demonise these women?
Stop there.
Hata km nani anaongea nn,kibaya ,je ww ndio mamlaka ya rufaa ya chadema?
Na km dispatch book iliibwa,je ww unafikiri hao 19 hawajui kwamba walicheza rafu? Km walicheza rafu hicho ndicho unachotetea?.na je saini ya katibu mkuu waliipata wapi?
Subiri mamlaka ya rufaa ndio itaamua mbivu na mbichi humu ni utetezi mfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…