Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hayo yako na unayajua wewe
Hayo yako na unayajua wewe
Wewe rusha ngumi hewani tu lkn siku ya siku mtajuta kwa kukubali kununuliwa na kuwasaliti wananchiNyoooo!
SahihiNi yeye.
Kwa kutishia tu mitandaoni, ninyi Nyumbu wa Ufipa ni nambari wani. Njoo kwenye reality sasa! Wanawajua Mange na Lissu! Ahahahahahah!Yaani hawa mkiwasamehe tutadili nao mitaani, watakula Sana manati
Inakuwaje unakubali kuwa CCM Kuna mikwaruzano na wanaongoza nchi lkn uone CHADEMA wakikwaruzana basi hawawezi kuongoza nchi.Wapi nimesema CCM hakuna mikwaruzano?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Two wrongs do not make a right.
CCM wakila mavi utaona ni sawa CHADEMA wake mavi kwa sababu CCM wanakula mavi?
Kama CCM na CHADEMA kote kuna mikwaruzano, kwa nini wananchi waone haja ya kuitoa CCM na kuiweka CHADEMA?
You want to eat your cake, and still have it.Swali hili ni irrelevant kwenye mada ya sasa.
Hata kama ilikuwa neither free nor fare, it doesn't follows that, kusiwepo na wabunge wa viti maalum kutoka Chadema.
Mkuu bila polisi ,tiss we na CCM si lolote si chochote.Kwa kutishia tu mitandaoni, ninyi Nyumbu wa Ufipa ni nambari wani. Njoo kwenye reality sasa! Wanawajua Mange na Lissu! Ahahahahahah!
Ninachokiona ni kuwa kuna ushabiki wa wapinzani (watawala & watawaliwa). Ukiondoa hilo viti 19 + 1 cha Jimbo ni mali ya Cdm kihalali na kikatiba. Na wala si mali ya Covid 19 wala NdugaiJua yafuatayo:
1. Dispatch book ya Katibu Mkuu, Mnyika, ina mhuri wa NEC kuonyesha wamepokea barua na fomu za wapendekezwa wa ubunge viti maalum Chadema.
2. Hii maana yake ni kwamba:
(a) Ama Mnyika alipeleka kabrasha na sasa anajibaraguza
(b) Au kuna mtumishi wa ofisi ya Mnyika, Madam X, alimlia timing na kubeba nyaraka zilizoandaliwa na Mnyika pamoja na dispatch na kupeleka NEC.
3. Kwa hiyo:
(a) Ama Mnyika aadhibiwe peke yake,
(b) Au Mnyika pamoja na Madam X waadhibiwe pamoja,
(c) Lakini, kama Madam X ni miongoni mwa wabunge 19, basi wabunge 18 hawana hatia.
4. Kwa hiyo, propaganda za Covid19 sio sawa.
5. Atafutwe mkosaji na kuadhibiwa, lakini hii habari ya mwalimu kukuta kelele darasani na kuadhibu wanafunzi wote ni uhuni.
I shout a big No!
Karibu Sumbawanga,
Kwetu kuchele!
Cohesive organs are there to protect those in power my friend. This is the general world rule.Mkuu bila polisi ,tiss we na CCM si lolote si chochote.
Hesabuni maumivu makali na mtabakia wabunge wa ccm kupitia jimbo la NdugayeUkumbi gani wakati huna viatu vya safari?
Kanunue viatu kwanza.
Tuliza kidonda chako,huna lolote unalolijua juu ya cdm,kwa taarifa yako mmeingizwa chooo cha kike na hizo fedha mlizo wapatia hao covid~ 19 mmeliwa.Hata km nani anaongea nn,kibaya ,je ww ndio mamlaka ya rufaa ya chadema?
Na km dispatch book iliibwa,je ww unafikiri hao 19 hawajui kwamba walicheza rafu? Km walicheza rafu hicho ndicho unachotetea?.na je saini ya katibu mkuu waliipata wapi?
Subiri mamlaka ya rufaa ndio itaamua mbivu na mbichi humu ni utetezi mfu.
Wahesabu maumivu tu kamwe cdm haiwezi kulea ndumila kuwili kama haoLabda job ndugai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana wanajiamini hatari
NonsenseAfu na wewe siku hizi naona umevurugwa.
Uache mambo ya kuchomekea.
Jielekeze katika hoja.
Hapa tunajadili: Kina Mdee warusidhiwe uanachama wao na Baraza Kuu au hapana?
Hizo story zingine baadaye!
Kamwe hawezi kukujibu hilo swali maana ni mwiba kwake.Suala la mzozo wa uanachama limekuja baada ya wao kukubali kuwa wabunge.
Suala la wao kukubali kuwa wabunge limekuja baada ya uchaguzi na mzozo uliotokea kuhusu uhalali wa uchaguzi.
Hivyo, kuna mstari wa moja kwa moja unaounganisha suala la kurudishiwa uanachama na suala la uhalali wa uchaguzi.
Ndiyo maana nikakuuliza, uchaguzi wa rais na wabunge wa 2020 Tanzania ulikuwa free and fair?
Usikimbie kujibu swali.
Ila Unajuwa kukatika
Kamwe hawezi kukujibu hilo swali maana ni mwiba kwake.
Akikataa basi Jiwe anamtupa jalalani
Akikataa basi atakuwa amejiondoa kabisa kwenye mchakato hata wa kujadiliwa hiyo rufaa yao sawa na ACT walivyo jiondoa kwenye orodha ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.
Kama sitaki uongozi wa nchi kutoka kwa chama chenye mikwaruzano, na uongozi wa sasa CCM una mikwaruzano, na uongozi mbadala una mikwaruzano, nakosa sababu ya kuuondoa uongozi wa sasa nilete huo mbadala.Inakuwaje unakubali kuwa CCM Kuna mikwaruzano na wanaongoza nchi lkn uone CHADEMA wakikwaruzana basi hawawezi kuongoza nchi.
Soma vzr ulichoandika ndio nikakujibu km nilivyokujibu.
Fahamu pia kuwa bila friction hakuna kwenda mbele.ni fizikia.
Naona kasepa kanipotezea mpaka sasa.Kamwe hawezi kukujibu hilo swali maana ni mwiba kwake.
Akikataa basi Jiwe anamtupa jalalani
Akikataa basi atakuwa amejiondoa kabisa kwenye mchakato hata wa kujadiliwa hiyo rufaa yao sawa na ACT walivyo jiondoa kwenye orodha ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.
Bikidude unajitahidi sanaWaliokacha ni kina nani?
Waliokata kina nani?