Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

So what COVID19? Nyie mlie tu! cha kufanya ni kutubu dhambi zenu za mliyoyafanya kukana rushwa ya maccm mliyopewa ya viti maalum ili mrudishwe kwenye timu. Mkifanya hayo mimi pia I’ll fight for you in public and behind the scenes, otherwise Bye! Bye,
Kitendo cha watu hawa 19 kurudishwa tena CDM, ni dhahiri chama kitakuwa kimeuawa kwa style ileile ya ACT-wazalendo.
Mdee et all hawapaswi hata kukaa meza moja na Mbowe.
 
Katibu Mkuui hahusiki.
Naye anasikia kwenye media kama walioteuliwa.
Kazi yake ni kupeleka orodha NEC na kurudi ofisini akisubiri tangazo.
Mmmmh, kwa hyo Kama alikana kupeleka majina kwa nn kina mdee na genge lake hawakuandika barua za kujiuzulu?
 
Nusrat Hanje alitoka Gerezani baada ya dawati la TISS lililoko pale Bungeni kupata taarifa za mchakato wa kuapishwa na kufanya coordination ya kuhakikisha kwamba mambo yanakwenda sawa. Ni kama hamjui nchi zinavyoendeshwa vile!
CDM ilipaswa iwapuuze hao Covid19 kama wananchi tulivyowapuuza, kwani kuna support kubwa sana wanayoipata kutoka kwenye dola haramu.
 
Katibu Mkuui hahusiki.
Naye anasikia kwenye media kama walioteuliwa.
Kazi yake ni kupeleka orodha NEC na kurudi ofisini akisubiri tangazo.
Kama KM hakupeleka orodha NEC kumbuka NEC walikiri hadharani kutopokea orodha
 
My analysis: it appears to me that, according to SS analysis, comparatively speaking, CHADEMA is a bigger threat to national security than mr. Jiwe is considered.
Huyu ndo anakwenda kuomba msamaha Baraza kuu,
Kwa mgongo wa Tiss
Nyie mabinti TISs inawaharibia future
 
Ukienda mahakamani kabla ya ku-exhaust internal remedial options inapoteza kesi mwanzoni kabisa via PO's.
We ni mgeni na hii michezo.huna reference yyte inayokuongoza.wangeenda mahakamani wangebaki kuwa wabunge wa mahakama. Mfano wakina ZITTO na wengine.tatzo hawataki kuondoka chadema.kukata rufaa manake wamekiri kufukuzwa na ni sawa na kujivua huo ubunge tayari.
Na ujue tayari nyie ni maajenti wa CCM na TISS,so mna malengo zaidi ya ubunge kwa sasa.
 
Ndugu yangu, mie nimeripoti yale niliyoambiwa.
Karibu tuyajadili kulingana na Katiba, Kanuni na Taratibu za Chadema zilizo kwenye karatasi.
Lakini pia, kwa kutumia common sense kama unavyopendekeza.
Hujaripoti bali wewe Ni mmoja wa hao Covid 19,umekuja kupima upepo humu.Haihitaji akili kubwa kuelewa.
Pili Hawa Covid 19 tayari ni maajenti wa CCM na TISS wakiongozwa na Mzee Mdee aidha kwa kujua au kutojua.Mdee anaucheza mchezo wake vizuri na wanataka kurudi ili kuja kuiangamiza kabsa CHADEMA.
 
We ni mgeni na hii michezo.huna reference yyte inayokuongoza.wangeenda mahakamani wangebaki kuwa wabunge wa mahakama. Mfano wakina ZITTO na wengine.tatzo hawataki kuondoka chadema.kukata rufaa manake wamekiri kufukuzwa na ni sawa na kujivua huo ubunge tayari.
Na ujue tayari nyie ni maajenti wa CCM na TISS,so mna malengo zaidi ya ubunge kwa sasa.
Unabahatisha.
 
Wakafie mbele huko
1609292623087.png

Kilio cha samaki hakina machozi!
 
Mama Amon. Sijajua kuwa unaunga mkono kitu gani kati ya uasi na uadilifu ?!
Jua yafuatayo:

1. Dispatch book ya Katibu Mkuu, Mnyika, ina mhuri wa NEC kuonyesha wamepokea barua na fomu za wapendekezwa wa ubunge viti maalum Chadema.

2. Hii maana yake ni kwamba:
(a) Ama Mnyika alipeleka kabrasha na sasa anajibaraguza
(b) Au kuna mtumishi wa ofisi ya Mnyika, Madam X, alimlia timing na kubeba nyaraka zilizoandaliwa na Mnyika pamoja na dispatch na kupeleka NEC.

3. Kwa hiyo:
(a) Ama Mnyika aadhibiwe peke yake,
(b) Au Mnyika pamoja na Madam X waadhibiwe pamoja,
(c) Lakini, kama Madam X ni miongoni mwa wabunge 19, basi wabunge 18 hawana hatia.

4. Kwa hiyo, propaganda za Covid19 sio sawa.

5. Atafutwe mkosaji na kuadhibiwa, lakini hii habari ya mwalimu kukuta kelele darasani na kuadhibu wanafunzi wote ni uhuni.

I shout a big No!

Karibu Sumbawanga,
Kwetu kuchele!
 
Back
Top Bottom