Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Inakuwaje unakubali kuwa CCM Kuna mikwaruzano na wanaongoza nchi lkn uone CHADEMA wakikwaruzana basi hawawezi kuongoza nchi.
Soma vzr ulichoandika ndio nikakujibu km nilivyokujibu.
Fahamu pia kuwa bila friction hakuna kwenda mbele.ni fizikia.
 
Swali hili ni irrelevant kwenye mada ya sasa.
Hata kama ilikuwa neither free nor fare, it doesn't follows that, kusiwepo na wabunge wa viti maalum kutoka Chadema.
You want to eat your cake, and still have it.
 
Ninachokiona ni kuwa kuna ushabiki wa wapinzani (watawala & watawaliwa). Ukiondoa hilo viti 19 + 1 cha Jimbo ni mali ya Cdm kihalali na kikatiba. Na wala si mali ya Covid 19 wala Ndugai

Na hakukuwa na haja ya pressure kutoka kwa spika wa Ccm kushadidia kuunda upinzani bungeni, hasa baada ya kuwa wameunyonga wenyewe kupitia vitengo . Na kuhusu udhaifu wa office ya Mnyika si kweli. Kwa sababu kama chama walikuwa na msimamo wao wa kuhoji uchafuzi uliotangulia ktk box la kura . Kilichotokea ni dola kujaribu kwa kila hali kuivuruga Cdm ili msimamo wao upotee . Nashukuru waTz wengi wanaona kinachoendelea

Kama kuna rufaa subirini zisikilizwe. Tusiwe watabiri [emoji120]
 
Tuliza kidonda chako,huna lolote unalolijua juu ya cdm,kwa taarifa yako mmeingizwa chooo cha kike na hizo fedha mlizo wapatia hao covid~ 19 mmeliwa.
 
Afu na wewe siku hizi naona umevurugwa.
Uache mambo ya kuchomekea.
Jielekeze katika hoja.
Hapa tunajadili: Kina Mdee warusidhiwe uanachama wao na Baraza Kuu au hapana?
Hizo story zingine baadaye!
Nonsense
 
Kamwe hawezi kukujibu hilo swali maana ni mwiba kwake.

Akikataa basi Jiwe anamtupa jalalani
Akikataa basi atakuwa amejiondoa kabisa kwenye mchakato hata wa kujadiliwa hiyo rufaa yao sawa na ACT walivyo jiondoa kwenye orodha ya vyama vya upinzani hapa Tanzania.
 

Tayari nimejibu.

Ubunge wa viti maalum hautegemei uhalali au uharamu wa uchaguzi.
 
Inakuwaje unakubali kuwa CCM Kuna mikwaruzano na wanaongoza nchi lkn uone CHADEMA wakikwaruzana basi hawawezi kuongoza nchi.
Soma vzr ulichoandika ndio nikakujibu km nilivyokujibu.
Fahamu pia kuwa bila friction hakuna kwenda mbele.ni fizikia.
Kama sitaki uongozi wa nchi kutoka kwa chama chenye mikwaruzano, na uongozi wa sasa CCM una mikwaruzano, na uongozi mbadala una mikwaruzano, nakosa sababu ya kuuondoa uongozi wa sasa nilete huo mbadala.

Kwa sababu, nitafaidika nini kuondoa chama kimoja che mikwaruzano na kuleta kingine chenye mikwaruzano?

CHADEMA walitakiwa watuoneshe wao wako tofauti na CCM, wako bora kuliko CCM, hawana matatizo ambayo yako CCM.

Lakini wameshindwa, wametuonesha wao ni sawa tu na CCM.

Sasa kama chama chenye mikwaruzano tunacho tayari, CCM, kwa nini tukiondoe hicho na tuweke kingine chenye mikwaruzano?
 
Naona kasepa kanipotezea mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…