Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 16, 2024 #181 Mtumbwi umepinduliwa na maji...
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Apr 17, 2024 #182 Elli said: Inaumiza na kufikirisha Sana, laiti tungeweka ubabe pembeni tukawaokoa Wana Rufiji Kwanza. Angalia hapa Wanachama VIONGOZI wa CCM wakishuhudia binadamu wenzao wakisombwa na maji. Inaumiza mnooo. View: https://vm.tiktok.com/ZMMCEeyUo/ Click to expand... Ndio umeamka!
Elli said: Inaumiza na kufikirisha Sana, laiti tungeweka ubabe pembeni tukawaokoa Wana Rufiji Kwanza. Angalia hapa Wanachama VIONGOZI wa CCM wakishuhudia binadamu wenzao wakisombwa na maji. Inaumiza mnooo. View: https://vm.tiktok.com/ZMMCEeyUo/ Click to expand... Ndio umeamka!
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Apr 17, 2024 #183 Hakuna kitu alikiasisi Magufuli hakijaleta madhara kwa wananchi. Yule Mzee ni laana kabisa. Kila maamuzi aliyofanya yaligharimu maisha na uhai wa Watanzania
Hakuna kitu alikiasisi Magufuli hakijaleta madhara kwa wananchi. Yule Mzee ni laana kabisa. Kila maamuzi aliyofanya yaligharimu maisha na uhai wa Watanzania
R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,636 Apr 18, 2024 #184 Bush Dokta said: Hasira za nini ndugu wakati wa majanga? Click to expand... Anaonge ujinga mkuu...yaani kupinga kitu ambacho ulikuwa unakipigia kelele kiwepo na kimekuwepo huo ni umama.
Bush Dokta said: Hasira za nini ndugu wakati wa majanga? Click to expand... Anaonge ujinga mkuu...yaani kupinga kitu ambacho ulikuwa unakipigia kelele kiwepo na kimekuwepo huo ni umama.