Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaumiza na kufikirisha Sana, laiti tungeweka ubabe pembeni tukawaokoa Wana Rufiji Kwanza. Angalia hapa Wanachama VIONGOZI wa CCM wakishuhudia binadamu wenzao wakisombwa na maji. Inaumiza mnooo.
View: https://vm.tiktok.com/ZMMCEeyUo/
Anaonge ujinga mkuu...yaani kupinga kitu ambacho ulikuwa unakipigia kelele kiwepo na kimekuwepo huo ni umama.Hasira za nini ndugu wakati wa majanga?