Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

Acha ujinga,ungesoma hata mada uelewe.

Tatizo lilikuwepo na mojawapo ya sababu za kujenga bwawa tuliambiwa litadhibiti Mafuriko badala yake limeongeza Ukubwa wa tatizo.
Umejuaje bwawa limeongeza ukubwa wa tatizo ?

Wapi imeripotiwa bwawa limeongeza ukubwa wa tatizo ??
 
Kwanza kabisa inabidi wamshukuru sana mama mdogo wa Kizimkazi maana anaupiga mwingi
 
Huwa nikiona Dam na athari zake baada ya kupasuka huwa naogopa sana
Huwa maji yanasomba kila kitu
Tuombe yasitokee kwetu maana ni hatari mara 2
 
Vijiji 23 si kidogo , hili ni janga kubwa mno ! Wazungu waliona haya mapema tukawapuuza na kuwaita mabeberu
Hao wazungu mmewafanya miungu. Hakuna maendeleo yasiyo na changamoto. Tunahitaji kukabiliana na changamoto huku tukifanya maendeleo na kusonga mbele. Maisha ya ombaomba tuyakatae. Lawama zipo tu.....
 


Miradi ya shujaa hiyo, kuna siku wataalam wataonekana wana maana hii nchi.
 
Kwanza kabisa inabidi wamshukuru sana mama mdogo wa Kizimkazi maana anaupiga mwingi
Kwa kuwapeleke maafuriko au sio?

Kwanza kabisa nichukue fursa hii kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea mvua kubwa iliyopelekea maafuriko katika vijiji vyetu 23 hapa pembezoni mwa bonde la mto rufiji, nani km Mama jamani Mama anaupiga mwingi mitano tena kwa Mama
 
Ukiona zaidi ya miaka 50 kitu hakijafanyika afu we unakuja kifanya jitafakari sana
Yaani nyinyi makuku mna upumbavu mwingi sana.


Kwahiyo hili bwawa na uwekezaji wa kiarabu kule loriondo kipi kinafaa kuhamisha watu???
 
ona huyu kahaba nae sasa nyie mnapinga kila kitu?
Ni hao hao kukiwa na mgao wa umeme wanapiga kelele kama injini mbovu.... Akili wamezikalia..... Hawajawahi toa njia za kukabiliana na kutatua changamoto... Wao ni malalamiko tu....
 
Ku Sacrifice Vijiji kadhaa kwa ajili ya Nchi kupata Umeme wa uhakika mimi naona kwa mtazamo wangu sio mbaya ila tu wahamishwe na walipwe fidia yao bila kudhulumiwa hata shilingi.
Kuna cenge huko juu limesema jamaa hakufikiri sawa sawa.

Ukute linaunga mkono waarabu wa loriondo kuhamisha wamasai.
 
Wajinga wanamsifu DIKTETA Mwendazake wanasema alikuwa na maamuzi. Kuwa na maamuzi ni kitu kimoja lakini kuwa na maamuzi ya KIJINGA ni kitu cha hovyo sana.

Etwege mfikishie ujumbe wake huko kuzimu maana nyie misukule yake kuna namna mma ongea naye
 
Yaani nyinyi makuku mna upumbavu mwingi sana.


Kwahiyo hili bwawa na uwekezaji wa kiarabu kule loriondo kipi kinafaa kuhamisha watu???
Loliondo Ili Hifadhi isife maana ni lifetime asset,kibwawa kinaweza kupasuka au kusitishwa matumizi endapo kero zitazidi.

Acha wenge za kijinga, Loliondo watu wanahamasishwa Kwa staha na Haki za binadamu zinazingatiwa sio sawa na huku ambako mumewatelekeza wafe kana kwamba hawana Haki ya kuishi.
 
Umejuaje bwawa limeongeza ukubwa wa tatizo ?

Wapi imeripotiwa bwawa limeongeza ukubwa wa tatizo ??
Hilo ni swali au jibu? Nguvu ya maji yaliyokusanywa na maji ya kawaida ipi Huwa na madhara zaidi?
 
Ni aibu hata kukufananisha na ng'ombe,namkosea adabu.
 
Kwa nini hamkufanya EIA Sasa mnasababisha madhara Kwa binadamu kiasi hiki?

Huko Ngorongo umesikia mtu amefurushwa?
Serikali ina mamlaka kwa kijiji au eneo lolote kama ina matumizi yenye tija kwa taifa ama eneo husika zaidi ya yaliyopo.

Huu ufala wa kichawa mnaoufanya hauna tija kwa vizazi vyenu zaidi ya kunenepesha minyoo hizo na kisha kufa tu

Umeme mnaohujumu ili mfanye ujinga wenu hautawafikisha popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…