Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

This is too much!
Rais SSH bado upo ofisini!
Utatuma UVCCM na misaada lakini kumbuka wewe ni Amir Jeshi mkuu and the buck stops with you

Utakwepaje lawama za vifo kama hivi!

Wana Rufiji poleni sana. Haya yakipita mjifunze kitu maana ninyi ni 'mbele kwa mbele' wanawachukulia poa tu
 
Na ndio kwanza mama anaenda zake Uturuki, nchi ngumu sana hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…