Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri CCM wenyewe wapoWatasema Unaleta Taharuki Ingawa Video Inaonyesha
Na wako radhi kuongopa kuwa hiyo imetengenezwa na Chadema ili kukilinda chama chao na serikali yaoUzuri CCM wenyewe wapo
DahNa wako radhi kuongopa kuwa hiyo imetengenezwa na Chadema ili kukilinda chama chao na serikali yao
Na ndio kwanza mama anaenda zake Uturuki, nchi ngumu sana hii.This is too much!
Rais SSH bado upo ofisini!
Utatuma UVCCM na misaada lakini kumbuka wewe ni Amir Jeshi mkuu and the buck stops with you
Utakwepaje lawama za vifo kama hivi!
Wana Rufiji poleni sana. Haya yakipita mjifunze kitu maana ninyi ni 'mbele kwa mbele' wanawachukulia poa tu
Ss hata kama akibaki , unafikiri atafanya nn, Mara nyingi safari Zake za nje huwa ni Kwa ajili ya mitikasi yakeNa ndio kwanza mama anaenda zake Uturuki, nchi ngumu sana hii.
Kabisa yaani ! serikali imekwisha gawa mbegu ila Mashamba yamezama !Chadema mnaleta taharuki
Inaumiza na kufikirisha Sana, laiti tungeweka ubabe pembeni tukawaokoa Wana Rufiji Kwanza. Angalia hapa Wanachama VIONGOZI wa CCM wakishuhudia binadamu wenzao wakisombwa na maji. Inaumiza mnooo.
View: https://vm.tiktok.com/ZMMCEeyUo/
Inaumiza na kufikirisha Sana, laiti tungeweka ubabe pembeni tukawaokoa Wana Rufiji Kwanza. Angalia hapa Wanachama VIONGOZI wa CCM wakishuhudia binadamu wenzao wakisombwa na maji. Inaumiza mnooo.
View: https://vm.tiktok.com/ZMMCEeyUo/
Kabisa yaani ! serikali imekwisha gawa mbegu ila Mashamba yamezama !
Mbon kuna miti wameshindwa kujisogeza kwenye miti wakashika?
Maji yana nguvu na kasi Sana hayo....sio rahisiMbon kuna miti wameshindwa kujisogeza kwenye miti wakashika?