Shemelaaa!Kwa wanaomjua Ruge huo ndio mwili wake,ila sura imechoka nadhani kwa ajili ya kuugua kwa muda mrefu.
Mie nililazwa siku 3 tu but nilitoka utadhani nimekaa wiki, hospital sio kuzuri aisee, Mungu azidi kumteteaMavidonge ya hospitalini si unajua!
Tehtehtehteh...... Nimecheka mie kwa sauti, MutagelezaHawa wenzetu utawaweza na majina yao.
Utakuta Mwingine anaitwa Muta, sasa hapo wewe utajaza mwenyewe ni Mutayoba, Mutabanwa, Mutapigwa, Mutakosa...
[emoji2][emoji2] Duuh aiseeHiv hapo kaweka mikono mfukoni au kashikilia Suruali isianguke?
Ume maanisha nini ?aliyegundua mapenzi asee alwabunia watu mateso asee......
hahaa panga boy haachagi mtu huyo ... uwe mzuri au mbaya yeye twende tu ... mtajuana huko huko mbele kwa mbele anacho jali yeye ni kuchovya tu kibuyu cha asalihuyo alokumbatiwa na Ruge sijui kama aliachwa hivi hivi
hahaaHawa wenzetu utawaweza na majina yao.
Utakuta Mwingine anaitwa Muta, sasa hapo wewe utajaza mwenyewe ni Mutayoba, Mutabanwa, Mutapigwa, Mutakosa...
kabisa chief ...Kuumwa na njaa ni vitu husononesha na kutupa hofu sana.hivi si vitu vya kumuombea mtu vimpate hata adui yako
we acha tualiyegundua mapenzi asee alwabunia watu mateso asee......
Kweli kabisaKatika mambo muhimu ni kuwaombea wagonjwa nafuu bila kujali ni nani rafiki au sio rafiki maana sisi sote hatujui mwisho wetu na maradhi ni mengi na hayachagui. unaweza kuumwa jino siku moja tu na ukaacha kutabasamu. sisi tunajiona tukiwa wazima tu lakini kitu chochote katika mwili kikikaa sivyo tu hoi. Ni nchi hii tu huwa tunakebehi watu kakonda sasa lini mtu akaumwa halafu akanenepa? tushukuru Mungu tuna afya na tuwaombee wengine na wale wagonjwa tuwaombee.
Ni bilionea mmiliki wa vyombo vya habariRuge ni mtu anahusika na vitu gan?
Anahusika na korosho za magufuliRuge ni mtu anahusika na vitu gan?
Wakati mwingine wake zetu tunawaonea, Ruge alikuwa mtu wa totoz sana mpaka Zamarad akashindwa uvumilivu.Zamaradi rudi kwa mme wako ruge umemuacha na watoto umekimbia nao ona sasa baba yao anavoumwa stress zina mmaliza ruge nikikumbuka zile clip za kumbembeleza zama arudi walee watoto rugemalila alikiri kabisa kwamba utamuua hawezi kuishi peke yake we umekimbilia kuolewa na kuzaa fasta, pole ruge pona haraka.
Kudhoofu maana yake nini na Kukonda maana yake nini.....Ruge ni mwembamba miaka yote
Sema lbd hapo kudhoofu tu lkn sio kusema kukonda