Ruge huyu hapa...

Ruge huyu hapa...

Ni Mitihani tu ya Dunia, iwe kwa ugonjwa wowote ule yote ni Mitihani tu, kikubwa ni ku ombeana tu hatujui nani atafuatia katika Mtihani kama huu. Nakuombe Luge uendelee kupata nafuu zaidi na zaidi. Na pole kwa mtihani huu.
 
Zamaradi rudi kwa mme wako ruge umemuacha na watoto umekimbia nao ona sasa baba yao anavoumwa stress zina mmaliza ruge nikikumbuka zile clip za kumbembeleza zama arudi walee watoto rugemalila alikiri kabisa kwamba utamuua hawezi kuishi peke yake we umekimbilia kuolewa na kuzaa fasta, pole ruge pona haraka.
 
Katika mambo muhimu ni kuwaombea wagonjwa nafuu bila kujali ni nani rafiki au sio rafiki maana sisi sote hatujui mwisho wetu na maradhi ni mengi na hayachagui. unaweza kuumwa jino siku moja tu na ukaacha kutabasamu. sisi tunajiona tukiwa wazima tu lakini kitu chochote katika mwili kikikaa sivyo tu hoi. Ni nchi hii tu huwa tunakebehi watu kakonda sasa lini mtu akaumwa halafu akanenepa? tushukuru Mungu tuna afya na tuwaombee wengine na wale wagonjwa tuwaombee.
Kweli kabisa
 
Zamaradi rudi kwa mme wako ruge umemuacha na watoto umekimbia nao ona sasa baba yao anavoumwa stress zina mmaliza ruge nikikumbuka zile clip za kumbembeleza zama arudi walee watoto rugemalila alikiri kabisa kwamba utamuua hawezi kuishi peke yake we umekimbilia kuolewa na kuzaa fasta, pole ruge pona haraka.
Wakati mwingine wake zetu tunawaonea, Ruge alikuwa mtu wa totoz sana mpaka Zamarad akashindwa uvumilivu.
 
Back
Top Bottom