TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Jamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.

Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?
 
Hewalaa...,hata mm nimefuatilia comments za huyu jamaa nimepata majibu pasipo shaka kuwa wanamtafuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu akifa ndio kujifanya rafiki? Mbona baada ya kuvamia Clouds alikataa kumwomba radhi kwa kitendo kile leo ananjifanya rafiki?
 
Hizo mbinu za kuzikuza events zikabamba ndio mbinu na signature ya Ruge.

Hazibambi hivi hivi tu, na hizo mbinu zimeasisiwa na/au kusimamiwa na Ruge.
 
lakin nasikia DAB anahisiwa kuhusika.watu wananong'ona mitaani.toka alipovamia ile studio ili sinema yake irushwe akagomewa yasemekana Dab aliingia msituni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…