TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

waswahili bana

ruge na makonda walikuwa marafiki...wakagombana wakapata, Ruge mpaka anakufa walipendana na makonda!

Tatizo mnataka kutuaminisha kuwa mtaani watu huwa hawagombani na kupatana

au kuwa wale sio normal human being
Mkuu hawa vijana ni WAPUMBAVU sana.Wanaforce mambo ambayo hata hayana tija.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Mwenye ile video ya uvamizi katika studio ya clouds naomba kuna kitu nataka niangalie ili nijiĺithishe
 
Halmashauri ya Bukoba mjini kushirikiana na Bukoba Vijijini wameungana kurekebisha sehem korofi zote ambazo hazikuwa katika hali nzuri,

Barabara ya kuanzia Magoti mpaka njia panda ya Itahwa na Karabagaine ni eneo korofi sana ambalo limesumbua sana kwa muda mrefu,

Leo asubuhi wameanza kumwaga vifusi na ma bulldozer yapo yanaendelea na kazi,

Sikuwahi kujua Ruge kama ni mtu Mkubwa kiasi hiki,


 

Ulivyo kiazi unadhani hio ni ya Mange Kimambi wakati ni Tangazo kutoka Gazeti la Mwananchi Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45

Unless useme Mwananchi sio chanzo Reliable pia
 
Jamaa uana ubishi wa kitoto na ujuaji mwingi!
Hilo tangazo lilikuwepo hapa JF na mitandao mingine mingi hadi magazetini.

Sijui ulikuwa wapi wakati linasambaa?
Tatizo mnaweka document ya mange kuna wadau humu wamenieleza niende kwenye tovuti ya TCRA hakuna lolote sasa ambas ni mjuaji unaejua lilete kama hutakuja na document ya mliwa ma*i sijui
 
Nani boss wa wasafi tv? Ni brand ya nani inatumika wasafi tv? Ushahidi wa mke wa kusaga kumiliki 53% unao ama una document ya mange? Unaufahamu utajiri wa Salam sk? Tafadhali majibu ya kiungwana
 
Makubwa, haya huo urafiki umeanza lini? leo?
 
Ina maana siku walipomaliza bifu lao hadi Makonda akaenda kufanya maombi nyumbani kwa Ruge na Ruge akaenda nyumbani kwa Makonda kumpongeza kwa kupata mtoto wewe ulikuwa haujazaliwa au umeamua kuwa mpumbavu kwa muda?
Kuna vitu watu hawavielewi wanafungwa na bifu zinazoendeshwa kwenye mitandao ya kijamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…