TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nafsi inamsuta kwani wewe hujui waafrica tukifa huwa tunageuka mizimu na tunaanza kulipa visasi kwa wabaya wetu

Hicho ndio siri ya kilio chake

Note
Sio kila chozi ni la uchungu

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Machozi mengine ni Crocodile tear mkuu
 
Bashite muuaji na ana kundi kubwa la Vijana wengi wenye njaa uko lumumba ndio wengi wamejifanya ndio usalama wa Taifa wanaua sana tena sana kwa maagizo ya bashite mengine hata jiwe afahamu hayo mauaji.
kuna thread humu humu mtu alisema kuwa ngoma ndie aliepewa hiyo sumu akamuwekea marehem!hiyo thread ina heading"watangazaji wa 360 wawaponda lissu na zito"!Itafute hiyo humu ndani kuna mtu ndo kaeleza mambo yanayotatanisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena Bora tungekuwa sehemu ya Uganda Idd amini aliitamani kagera na alitaka aifanye makao makuu yake Kwa sababu Kwa kipindi kile ilikuwa imeendelea kuzidi sehemu nyingi za Uganda.hivi utatamanije sehemu mbovu.ina maana aliona kitu Fulani cha faida Kwa nchi yake ndo maana aliamua kuvamia tz sio Kenya wala sudani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa vijana ni WAPUMBAVU sana.Wanaforce mambo ambayo hata hayana tija.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Raha yao ni kutaka kuona Makonda anachukiwa na jamii, ni kutaka kuumiza hisia zake

wanatakiwa kujenga kwao ambako kuna bomoka kila siku....
 
Mwisho wa kufanya ubaya ni kuona aibu,.... Huyu jamaa hatoweza kuacha tabia ya kuwatendea watu ubaya kwakua haoni aibu.... Hana haya...

Sikatai kwakua hata shetani ni Mungu kwa wanaomwamini,... Ila sio Mungu wa Isaka, wa Eliya, na Jacob...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaandika 'Pumzika kwa amani' wakimtakia Ruge mampunziko ya amani

Ruge hawezi kusema lakini tunakumbu kumbu za jinsi alivyodhalilishwa na DAB

Sidhani kama ingalikuwa kupanga, Ruge angependa hata DAB kutokea msibani

Tumtendee haki Ruge! DAB hapaswi hata kuhudhuria msiba kwa dhalili aliyomfanyia

Nitashangaa sana kama kamati na wana Familia watamruhusu aseme neno
Ruge atakuwa anageuka ndani ya jeneza kwa ghadhabu na hasira

Mtendeeni haki Ruge, DAB asisogee hata karibu na jeneza! ndiyo uungwana huo

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…