Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
ukiskia kufa kufaana basi ndio hiiHalmashauri ya Bukoba mjini kushirikiana na Bukoba Vijijini wameungana kurekebisha sehem korofi zote ambazo hazikuwa katika hali nzuri,
Barabara ya kuanzia Magoti mpaka njia panda ya Itahwa na Karabagaine ni eneo korofi sana ambalo limesumbua sana kwa muda mrefu,
Leo asubuhi wameanza kumwaga vifusi na ma bulldozer yapo yanaendelea na kazi,
Sikuwahi kujua Ruge kama ni mtu Mkubwa kiasi hiki,
Picha na video zinawajia muda si mrefu