Tusipopata katiba mpya ya kumbana Rais tutaambulia vilio ivi uyo Ruga ninani? Kwanini anaumiza pesa za walipakodi? Isijekuwa alikuwa kinara wa kusambaza madawa ya kulevya au ni Freemason yahani mpaka watu wamefungwa kisa walimkosoa? Mbona alipokuwa hai aligombana na makonda hatukuona nguvu kubwa ikitumika kumlinda?
Mbona kituo chake kilivamiwa na watu wanaojulikana lakini hawakuchukuliwa hatua mpaka leo?
Matumizi ya pesa zetu kihorela ifike maala tuseme inatosha.
Tunahitaji katiba isiyoweka kinga kwa mtawala namimi nawahakikishia Mafunguo tutamfunga kwa matumizi mabaya ya madaraka na Raslimari za nchi atakama atakuwa analingana mama yake tutamburuta tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app