britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Actually Mr Clinton yupo tiyariNaskia na Trump atahudhulia mazishi asipokuja atatuma mwakirishi. ndio mtajua ni kiasi gani to ruge ni MTU mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Actually Mr Clinton yupo tiyariNaskia na Trump atahudhulia mazishi asipokuja atatuma mwakirishi. ndio mtajua ni kiasi gani to ruge ni MTU mkubwa
Ina maana kipaji cha Diamond alikiweka kwake Ruge? Kwa taarifa yako Marehemu alikuwa anatazama mtu maarufu anaenda kujaribu kufanya biashara nae ili nae apate mkate kupitia huyo mtu na kwa taarifa yako mtu wa kati kwenye industry ndio anafaidika kuliko msanii mwenyewe ndio maana hakuna msaada alioutoa Zaidi ya kutaka ku-trade na watu wenye vipaji. Ukielewa industry ya muziki utajua nasema nini ila unaonekana hujui kitu
Aliingia msituni zaidi baada ya rafiki yake kuondolewa TISS na kwenda kuwa katibu Tawala mkoa wa Tabora kisha akaporwa walinzi akasema aliyesababisha ni Ruge pia kitendo cha vyombo vyote vya Habari kukutana clouds vikamlaani kilimkera sana makonda ndipo akaona kuwa Ruge anaelekea kutishia cheo chake cha RC akaamua kumtuma Le mutuz kwenda kuteketeza kwa virusi vya kuua figolakin nasikia DAB anahisiwa kuhusika.watu wananong'ona mitaani.toka alipovamia ile studio ili sinema yake irushwe akagomewa yasemekana Dab aliingia msituni.
Utueleze sababu zilizokufanya ukamvamie kijeshi katika eneo lake la kazi halafu unajifanya ni rafiki yako unafiki una mwisho wake.RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.
Source Clouds tv!
Weeeeee[emoji44][emoji44]Bibi weee!mjini hapa pagumu mnooo!!!huoni kua Nandy kuanzia mwaka juzi promo haziiishi yaani anawika balaaa....
Na South alikua anaenda pia,!!na amerudi na msiba jana
Sent using Jamii Forums mobile app
yes mwambie kijana, yasije kumkuta
Sio yeye peke yake hadi wewe na ukoo wako wote mtaukumiwa na myafanyao kwa binadamu wenzenu mungu sio wenu peke F U.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifa umekufa hakuna cha roho kuona wala niniKama roho inaona,,basi ruge anajionea mambo
Nadhani wewe ndiye unayejiaibisha sasa nakuomba jambo moja screenshot eneo hilo linaloonyesha wamiliki wa wasafi media kutoka kwenye tovuti ya TCRA alafu iweke hapa ili unidhalilishe siihitaji document ya mange mliwa nyuma leta ambayo haina jina la mange
tell himyou are wrong 100%
Mwambie huyu..ndio hao wakipata matatizo wanatafuta wa kumlaumu badala wayakabili.Sasa kama talanta ipo kwanini anapagawa?afu hujanisoma vizuri nimesema hivi,kama alijiona yuko na talanta si angewaambia wazazi wake( jide) walimpilie hivyo vitu aliasinyonywe na hao!? Grow up man ukikubali kusimamiwa jua watu wameinvest pesa zao sio ujamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiba huu umenikuta Bukoba ,kashasha, sasa ntalazimika kufika,
This guy was smart for sure
Wee nawe unashangaaa coment za watu wakati unashindwa kushangaa jinsi Baba na Mama walivyogombea ile bahasha nyeupe ktk kwa JPM?
Using'ang'anie vitu usivyovijua wenye maamlaka na wanaotunza nyaraka za kampuni ni BRELA, kila Mwaka wamiliki wa kampuni huwa wanafile BRELA document inayoitwa annual return ambayo inaonesha wamiliki wa kampuni na share wanazomiliki. Kutaka document itoke TCRA tayari inaonesha hauna ufahamu wa hayo mambo, wamiliki wa share kuwajua ni rahisi tu maana BRELA wanatoa access kwa mtu yoyote anayetaka kujua habari za kampuni husika kwa kulipa kisha utaingia ktk Company Official search kupata maelezo uliyokua unayahitaji.Nimeshaeleza toka awali hiyo document ya mangd kimambi sihiitaji na huyo juhayna mkurugenzi wa prime time promotion namfahamu vyema sana.
.
Leta document ambayo umeitoa kwenye tovuti ya TCRA hapa wewe mwenyewe naona hapo umeleta Efm na geita tv nataka za wasafi
Kutengeneza barabara ni matumizi mabaya ya fedha za uma?Au unataka kuiwasilisha ujumbe ganiTusipopata katiba mpya ya kumbana Rais tutaambulia vilio ivi uyo Ruga ninani? Kwanini anaumiza pesa za walipakodi? Isijekuwa alikuwa kinara wa kusambaza madawa ya kulevya au ni Freemason yahani mpaka watu wamefungwa kisa walimkosoa? Mbona alipokuwa hai aligombana na makonda hatukuona nguvu kubwa ikitumika kumlinda?
Mbona kituo chake kilivamiwa na watu wanaojulikana lakini hawakuchukuliwa hatua mpaka leo?
Matumizi ya pesa zetu kihorela ifike maala tuseme inatosha.
Tunahitaji katiba isiyoweka kinga kwa mtawala namimi nawahakikishia Mafunguo tutamfunga kwa matumizi mabaya ya madaraka na Raslimari za nchi atakama atakuwa analingana mama yake tutamburuta tu.
Sent using Jamii Forums mobile app