TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wahaya bhana kumbe hata njia hakuna huko ndio mnachimba matope muda huu, Jifunzeni Uchaggani barabara za Lami mpaka vichochoroni

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Duh, maana kalivyokuwaga na mbwembwe sasa. Mara ooh nimepeleka watoto kusherehekea birthday Zanzibar kwa gharama ya shilingi mil 5.
Kumbe ni jeuri ya mtu mwingine 😳

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge alihakikisha watoto wake wanaishi km wafalme Zama alikua km nyau pale anawakilisha ila mchawi alikua Ruge!ila ataweza somesha si mjasiriamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom