mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ndiyo unatutangazia una leseni ya kimataifa?haya tushajua!!!Mwaka Jana nilikuwa huko, sikuwa na Leseni ya Tz wananishangaza kutotambua licence ya kimataifa, wakawa wanazingua nkawa napita huko, sasa nasikia muda huu wameweka kambi hapo njia panda ya Rwamishenye na Kashura, hata kule kashura chini kasalan wapo kambi
We si ungewapa elimu hao policcm wenu kuwa leseni za nje zinatumika muda fulani ukatayokuwepo nchini
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app