TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kagera yote ni km home tu nshafika hadi minziro, murongo/kikagati, bushangalo, rusumo benaco kabanga, nshamba izimbya kamachumu

Kona nyingi nimezigusia hapo

Shida ni visiwani huko palinishinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshafika vijiji kama Ishozi, Gera, Kyetema, Kagege katoma, kihanga karagwe, Bugabo katale, Nshambya, Kilimilile, kyamulaile, Buyango, maruku, ijuganyondo, kigando, kabale
 
Tusipopata katiba mpya ya kumbana Rais tutaambulia vilio ivi uyo Ruga ninani? Kwanini anaumiza pesa za walipakodi? Isijekuwa alikuwa kinara wa kusambaza madawa ya kulevya au ni Freemason yahani mpaka watu wamefungwa kisa walimkosoa? Mbona alipokuwa hai aligombana na makonda hatukuona nguvu kubwa ikitumika kumlinda?

Mbona kituo chake kilivamiwa na watu wanaojulikana lakini hawakuchukuliwa hatua mpaka leo?

Matumizi ya pesa zetu kihorela ifike maala tuseme inatosha.

Tunahitaji katiba isiyoweka kinga kwa mtawala namimi nawahakikishia Mafunguo tutamfunga kwa matumizi mabaya ya madaraka na Raslimari za nchi atakama atakuwa analingana mama yake tutamburuta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kila wakati ni muda wa kutokwa povu,utazeeka kabla ya wakati.
 
Umeshafika vijiji kama Ishozi, Gera, Kyetema, Kagege katoma, kihanga karagwe, Bugabo katale, Nshambya, Kilimilile, kyamulaile, Buyango, maruku, ijuganyondo, kigando, kabale
Ijuganyondo, kigando, kyamulaile naweza kuwa nilifika ila nisijue kama panaitwa hivyo

Hivyo vingine vilivyobaki nimeshahudhuria maeneo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyumbani panakamilika, kukiwa na baba, mama watoto. yaani watu wengi wengi hivi...

marehemu hajawai kuoa.. inasemekana marehemu hakuwa anaishi na watoto wake... anaishi kama msela masaki..

hiyo ikapelekea msiba ufanywe home kwa wazazi...

na pia wazazi wenyewe wana uwezo na eneo lao la nyumbani ni kubwa kupokea watu wengi bila shida

Punguza majungu!
 
Mkuu usijiabishe kiasi hiki.
Umesema TCRA hawawezi kuweka tangazo kama hilo ambalo linaonesha hisa za wamiliki lakini jamaa kakuwekea matangazo kama hayo ambayo bado yapo kwenye archive ya TCRA online unadai uletewe tangazo la Wasafi TV likiwa kwenye tovuti ya TCRA.

Kama haujajipa muda kutafuta habari mitandaoni na maktaba zingine bora unyamaze.

News media kubwa kama mwananchi nao huwaamini? Wanaweza kuweka habari kubwa namna hiyo bila kuthibitisha uhalisi au ukweli?

Soma hiyo link chini
Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
Nadhani wewe ndiye unayejiaibisha sasa nakuomba jambo moja screenshot eneo hilo linaloonyesha wamiliki wa wasafi media kutoka kwenye tovuti ya TCRA alafu iweke hapa ili unidhalilishe siihitaji document ya mange mliwa nyuma leta ambayo haina jina la mange
 
RC Makonda amesema kwa sasa hatasema lolote juu ya rafiki yake kipenzi Ruge Mutahaba.
Makonda amesema Ruge ni mtu muadilifu, mchapakazi na jasiri hivyo anashindwa namna ya kumuelezea na anazidi kumuomba Mungu ampe kibali na kwa kuwa ataenda Bukoba kwenye mazishi basi kwa neema ya Mungu akipata kibali ataweza kumuelezea rafiki yake huyu.

Source Clouds tv!
Siku Mungu akimpa neno la kusema asiwe na mtutu wa Bunduki alioingia nao Clouds...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom