Anajua yeye nini kinamliza.yaweza yasiwe yale unayoyajua yaan msiba n.k.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul Makonda amemlilia Ruge machozi kama mtoto ndogo wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Katika ukumbi wa diamond Jubilee .Tukio hili limetokea muda mfupi uliopita ,takribani SAA moja iliyopita hivyo kuwashangaza watanzania, kwani bifu la makonda na Ruge linafahamika na kila mtu .Sasa buku kumlilia marehemu ambaye una uhusiano naye mbovu kimeshangaza sana .
Kwamba nyie Bavicha ndio mnamjua Makonda vizuri kuliko clouds?Clouds wanajua sana kumnyenyekea nyapala makonda..hivi unampaje airtime mtu km huyo jaman...!shenji
Kwamba nyie Bavicha ndio mnamjua Makonda vizuri kuliko clouds?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
alienda na mabunduki studio ili kwenda kulinda ile flash eeeh? kwann wale wapuuzi/ walificha sura nadhan wewe ni stupid wa mwishooUliambiwa makonda alienda kuua mtu?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Itakuwa alienda kunywa chai mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]alienda na mabunduki studio ili kwenda kulinda ile flash eeeh? kwann wale wapuuzi/ walificha sura nadhan wewe ni stupid wa mwishoo
Ana machozi ya karibu na kulialia ni jadi yake... japo machozi yake yamejaa unafiki mkubwa... Yanaitwa machozi ya mamba.... BTW mtoto wa kiume tena kiongozi kulialia mbele ya hadhira sio dalili nzuri sanaMkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Paul Makonda amemlilia Ruge machozi kama mtoto ndogo wakati wa shughuli ya kumuaga marehemu Katika ukumbi wa diamond Jubilee .Tukio hili limetokea muda mfupi uliopita ,takribani SAA moja iliyopita hivyo kuwashangaza watanzania, kwani bifu la makonda na Ruge linafahamika na kila mtu .Sasa buku kumlilia marehemu ambaye una uhusiano naye mbovu kimeshangaza sana .
Indeedsumu boy
[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]Wiii kaka yako si nimeachana nae[emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Mkuu ameelewa ila si unajua mtu mzima kukiri hadharani kuwa 'I was wrong' kwa watu wengine ni jambo gumu sana hebu jaribuni kumuelewaMkuu usijiabiahe kiasi hiki.
Umesema TCRA hawawezi kuweka tangazo kama hilo ambalo linaonesha hisa za wamiliki lakini jamaa kakuwekea matangazo kama hayo ambayo bado yapo kwenye archive ya TCRA online unadai uletewe tangazo la Wasafi TV likiwa kwenye tovutibya TCRA.
Kama haujajipa muda kutafuta habari mitandaoni na maktaba zingine bora unyamaze.
News media kubwa kama mwananchi nao huwaamini? Wanaweza kuweka habari kubwa namna hiyo bila kuthibitisha uhalisi au ukweli?
Soma hiyo link chini
Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
Hivi huyo Hassan Ngoma Bado yupo Clouds?
Aliniacha mwenyewe lakini[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
Nawe ni mmoja kati yao! Usijishaue hapa kama uliyefumaniwa! Utaumbuka mnafiki wewe, siku yako yaja![/QUOTE][QUOT"johnthebaptist, post: 30603484, member: 228646"]Mkuu mbona povu kama kamanda wa Ufipa?!
Wasalimie wa Bugandika, kayanga, kijunja, bwanjai, msibukaMsiba huu umenikuta Bukoba ,kashasha, sasa ntalazimika kufika,
This guy was smart for sure
Acha ulongo mdogo wangu hana hiyo jeuriAliniacha mwenyewe lakini[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
Anayo sana[emoji24]hakuonyeshi tu wewe