Mkuu usijiabiahe kiasi hiki.
Umesema TCRA hawawezi kuweka tangazo kama hilo ambalo linaonesha hisa za wamiliki lakini jamaa kakuwekea matangazo kama hayo ambayo bado yapo kwenye archive ya TCRA online unadai uletewe tangazo la Wasafi TV likiwa kwenye tovutibya TCRA.
Kama haujajipa muda kutafuta habari mitandaoni na maktaba zingine bora unyamaze.
News media kubwa kama mwananchi nao huwaamini? Wanaweza kuweka habari kubwa namna hiyo bila kuthibitisha uhalisi au ukweli?
Soma hiyo link chini
Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45