TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

ukiskia kufa kufaana basi ndio hii
 
Sioendi kusikia watu tukiongelea vitu tusivyo na uhakika navyo zaidi ya kuona kwenye mitandao tuuu..Maana halisi ya neno hawara ni IPI maana naona NANDY wa watu anaitwa alikua hawara mimi NAKATAA hakua hawara bwana maana hawara ni mchepuko wa mwanaume aliye ktk ndoa.

Sasa Marehemu alikua na ndoa ipi hadi mumuite mtoto wa watu hawara?? semeni alikua MPENZI wa marehemu inatosha sio kumwita Hawara,mnajuaje kama walikua wanapanga kuoana kwa ndoa kbsa? so wapenzi sku hz n mtu na hawara? bwana eeeh mwacheni Nandy wa watu kafiwa na Mtu muhimu ktk maisha yake yawezakua amefiwa na MPENZI WAKE, au BOSS TU au vyvyte vile ila Sio kumuita hawara mtoto wa watu.

Nandy sio hawara Mbona zama hamumuiti hawara? Aliolewa kwa ndoa ipi? tuache umbea na kuharibu cv za watoto wa watu
 
Hahah wabongo buana akili hamna, watu wamepatanishwa mbele ya umati na kiongozi wa nchi. Usijiulize kuhusu ya 2017, jiulize kabla ya 2017 waliishi vipi anzia tu toka makonda mkuu wa wilaya ya kinondoni. Vitu vingine mviache kama vilivyo kuhusu kugombana watu wangapi washangombana mpaka sasa??? Idadiless...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafsi inamsuta kwani wewe hujui waafrica tukifa huwa tunageuka mizimu na tunaanza kulipa visasi kwa wabaya wetu

Hicho ndio siri ya kilio chake

Note
Sio kila chozi ni la uchungu

Sent using my iPhone using jamiiforum app

[emoji23][emoji23]nimecheka kwa Sauti Mpaka watu wamegeuka kuniangalia..umetisha kwa kufikiri hilo jambo
 
Ila katika vitu mh Makonda kajaaliwa ni uso wa mbuzi haki ya Mungu
 
Mungu wa kuua watu kwa sumu na visasi kwa wingi?![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…