Subiri ujionee maajabu .....yule demu hana lolote, marehemu alimpa kiburi sanaSi huwa anajidai kwake mambo safi au ndio ilikuwa jeuri ya marehem kupitia children support.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wanasoma fedha wale,kama wadogo wa Ruge wapo njema kihela inabidi wawasomeshe watoto wa marehemu.Kama namuona Zama jicho lilivyomtoka kwenye ile bahasha[emoji16]...
Hiyo ndo imetoka, hakuna wa kusomesha watoto pale, kila mama ajibebe na watoto wake daaah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wadogo zake mbona kama hawana confidence [emoji44]...Kuna mtu mwenye uwezo pale?Watoto wanasoma fedha wale,kama wadogo wa Ruge wapo njema kihela inabidi wawasomeshe watoto wa marehemu.
Duh, maana kalivyokuwaga na mbwembwe sasa. Mara ooh nimepeleka watoto kusherehekea birthday Zanzibar kwa gharama ya shilingi mil 5.Subiri ujionee maajabu .....yule demu hana lolote, marehemu alimpa kiburi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi waligombea,ngonja nikaangalie video You tube.Wee nawe unashangaaa coment za watu wakati unashindwa kushangaa jinsi Baba na Mama walivyogombea ile bahasha nyeupe ktk kwa JPM?
Ht mm sidhani, hapo ndio ishakuwa kazi ya mama zao kuhakikisha wanasoma pale au wanawahamisha maana feza napo sio pa kispot spot kbs.Wale wadogo zake mbona kama hawana confidence [emoji44]...Kuna mtu mwenye uwezo pale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee nawe unashangaaa coment za watu wakati unashindwa kushangaa jinsi Baba na Mama walivyogombea ile bahasha nyeupe ktk kwa JPM?
Daaah sijaonaWee nawe unashangaaa coment za watu wakati unashindwa kushangaa jinsi Baba na Mama walivyogombea ile bahasha nyeupe ktk kwa JPM?
Yaaan alimfaidi ni huyo mtoto wake mkubwa!...but hao wengine ishu aseeHt mm sidhani, hapo ndio ishakuwa kazi ya mama zao kuhakikisha wanasoma pale au wanawahamisha maana feza napo sio pa kispot spot kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye vimwili vidogo wana matatizo sana!Duh, maana kalivyokuwaga na mbwembwe sasa. Mara ooh nimepeleka watoto kusherehekea birthday Zanzibar kwa gharama ya shilingi mil 5.
Kumbe ni jeuri ya mtu mwingine π³
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji zetu meno njee..So unamaanisha kufa kufaana sio?
Amekufa yeye ila Nshomile wenzake mliobaki mnajengewa barabara.....
Ruge alihakikisha watoto wake wanaishi km wafalme Zama alikua km nyau pale anawakilisha ila mchawi alikua Ruge!ila ataweza somesha si mjasiriamaliDuh, maana kalivyokuwaga na mbwembwe sasa. Mara ooh nimepeleka watoto kusherehekea birthday Zanzibar kwa gharama ya shilingi mil 5.
Kumbe ni jeuri ya mtu mwingine π³
Sent using Jamii Forums mobile app
Ada 7m pale naskia km Ulaya tuu!Zama ataweza si mjasiriamaliHt mm sidhani, hapo ndio ishakuwa kazi ya mama zao kuhakikisha wanasoma pale au wanawahamisha maana feza napo sio pa kispot spot kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kujikakamua ili kulinda brand ya jina lake πRuge alihakikisha watoto wake wanaishi km wafalme Zama alikua km nyau pale anawakilisha ila mchawi alikua Ruge!ila ataweza somesha si mjasiriamali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana namnaa asionekane ameyumba kimaisha ila cha moto atakiona kiukweli Zama anaumia sanaaaaa basi tu
Kwa vile anapenda fame anaweza kuendelea kujikakamua.
Kwa vile anapenda fame anaweza kuendelea kujikakamua.
Ila pia watoto wanaweza pata mirathi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaumia mno, na km watoto washazoea maisha ya kitajiri itabidi apambane haswaa km ZariHana namnaa asionekane ameyumba kimaisha ila cha moto atakiona kiukweli Zama anaumia sanaaaaa basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana jinsi kwa kweli maana wale watoto ukiwaangalia future yao ilikua kwa baba yao!Mungu amsimamie kwa kweliAnaumia mno, na km watoto washazoea maisha ya kitajiri itabidi apambane haswaa km Zari
Sent using Jamii Forums mobile app