TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Siku mkitokewa na mizimu, mnakimbilia kwenda kwenda kupiga ramli, kumbe wachawi ni wenyewe!! Yaani wakati nipo hai msinijengee barabara ili niwe naenda kuwaona akina Babu na Bibi kwa wepesi, mnasubiri nimekufa ndo mnajenga ili nyinyi wenyewe muweze kuja kunifukia kwa urahi? Kumbe ndo maana nasikia kuna maiti huwa zinafumbua macho kumwangalia mbaya wake! Eti Mkuu Mshana Jr, hili la maiti kufumbua macho huwa linatokeaga kweli?!

Sema Mungu na yeye angekuwa anawapa wafu uwezo wa kufanya jambo la mwisho kabla hawajafukiwa, manake kwa staili hiyo ningekuwa ndo Ruge; ile nafika walipoanzia ukarabati tu, naibuka ibuuu, na kutangaza siendi popote hadi wayarudishie mashimo yetu, manina zenu!
 
Yaap walikua wanaishi wote kilichoshindikana kuwa pamoja ni dini mi ndo naona kubwa hilooo maana uhuni wa Ruge alikua anaujua toka zamani sana na alikua na mdada mjamzito kipindi zama ana mimba ya shubi kadada kale kanaitwa Beatrice kama sikosei kalimrusha roho Zama mpk kuvaa mashati ya Ruge anarusha Instagram yaani yule Dada hapana kwakweli...alivyojifungua akatemwa Bibie akaanza kumtukana Ruge sasa...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]tafrani tupu mjini hapa!

Zama alivyoona Ruge si muoaji ndo akaanza kudate na shabani kisirisiri akamhama Ruge alivyojifungua shubi mpk siku anaolewa Ruge hajui chochote hakwenda fiesta ya Tabora km sikosei watu wanaona ndoa
Huyu zama si ndio ilisemekana kwamba waliwahi kuishi pamoja kabla ya kushindana na kuamua kuachana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Ruge alikuwa hajui mpaka siku ya ndoa? Na ile audio ilirekodiwa baada ya ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaaa kweli nimekumbuka, hakutokea kwenye hiyo fiesta na ikasemekana sababu ni ndoa ya Zama imekuwa surprise kwake.
So far nadhani Ruge alimpenda sana zama ila sema tu wanaume ndio hivyo huwa hawaridhiki na mmoja. Na huenda tangu wameachana hajawahi kuwa na raha kwenye mahusiano yake mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you insane[emoji44][emoji44].
Anyway RIP Genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niondoke zangu hapanifai hapa, yaani najihisi kama niko kwenye kibaraza cha wanawake wasengenyaji na wambea.

Jamani marehemu hasemwi kwa mabaya yake hata kama yalikuwa mengi pomoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…