[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana. Kibinadam nimehuzunika ila media zimenifanya nilie kabisa. Yaani tangu mwili wake umefika hadi saizi naangalia clouds. Yaani naangalia hadi marudio hakuna channel ninayoitazama tena. Ila saivi nimeshtuka akili imerudi sehemu yake. Kweli media ni habari ya mjini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Huyo Beatrice anajiita nani insta?
Ndo huyo mdada mweusi alijifunga kilemba cheusi alikuwa na mtoto?
Huyo mke wa Romy Jones mbona kaumia hivyoo?
Hivi Zama anapatana na wazazi wa Ruge kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, ujinga mtupu!!Ujinga mtupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini kule bukoba vifaa vya ujenzi viko juu kwa hiyo tuseme mil 2 nusu yake ndo inastahili[emoji41][emoji41][emoji41] ..mf kuna kipindi nilikuwepo maeneo ya uko cement wanauza mpaka 22000 kwa mfukoCement, yale matofali na zile tiles za bei poa ndo inafika 4,000,000 hawa wangejenga kaburi kama la H.I.D Awolowo kaburi lenye Air Condition wangesema kaburi limefika 50,000,000
sema hivi ..alikuwa tapeli mashuhuriRuge alikua Kada wa CCM......Pia ni master mind
Ila alikua mjanja mjana sana yani watt wa Mujini....... Ukizubaa tu anakulizaa....
Mbona walioponda ni wengi mjomba, ila sababu unamjua huyo sister ni muislamu basi alichoandika kina mahusiano na Uislamu. Hebu acha kuingiza dini maeneo yasiyohusika ndugu. Hapa inazungumziwa gharama za kaburi na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ina maana waliocomment negative wote ni waislamu, mbona hujawaeleza chochote.Akili yako haina akili wewe imani yako ni Uislam inabidi tui heshimu na wengine ni Wakristo inabidi pia tui heshimu wengine kama sisi imani yetu ni ya ki Afrika inabidi tu heshimiwe na wengine hawana dini.. kwa kutojitambua unataka watu wote wafanane wawe waislamu..
Kila kitu bei ya kawaida isipokuwa surveyor consultant engeneer architect etc hao wamelamba 3m iliyobqki ni material na mafundi tope -brick layerSio mbaya si mhaya, cement mfuko mmoja wameuziwa 100,000......tofali 1 la inch 5 ni 4500.....so mil.4 inafika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiki za kisiasa tu, kama ana mchango wa maana kanisa katoliki limtangaze mwenye heri basi!
Vp uko bukoba sahvYoutube video nyingi zitakupa ujue..
Acha wivu