TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sana. Kibinadam nimehuzunika ila media zimenifanya nilie kabisa. Yaani tangu mwili wake umefika hadi saizi naangalia clouds. Yaani naangalia hadi marudio hakuna channel ninayoitazama tena. Ila saivi nimeshtuka akili imerudi sehemu yake. Kweli media ni habari ya mjini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Hahaha , Wahaya Kwa kupenda misifa wala sishangai hii Figure

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Cement, yale matofali na zile tiles za bei poa ndo inafika 4,000,000 hawa wangejenga kaburi kama la H.I.D Awolowo kaburi lenye Air Condition wangesema kaburi limefika 50,000,000
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini kule bukoba vifaa vya ujenzi viko juu kwa hiyo tuseme mil 2 nusu yake ndo inastahili[emoji41][emoji41][emoji41] ..mf kuna kipindi nilikuwepo maeneo ya uko cement wanauza mpaka 22000 kwa mfuko
 
Kilichompa Kiki Mr. Ruge ni kuanzisha vi project fulani fulani kama
》fursa
》malkia wa nguvu
》fiesta
》tanzania house of talent
》amekutana na vijana wengi wa vyuo vikuu kama mzumbe na UDOM
Ruge alikuwa mtu mbu nifu hasa upande wa biashara kakuza vipaji Vingi sana BONGO MOVIE wanalijua hilo hata wasanii wengi wamepitia ktk mikono yake
》ALIKUWA na Ushawishi mkubwa sana ktk nyanja mbalimbali kisiasa
》wanasiasa wengi sana walimtumia ili kufanikisha mambo Yao ili kuwapata wasanii

Kwahyo ruge hakuwa mtu mdogo alikuwa na nguvu kubwa ya Ushawishi ndo maana wanasiasa walimtumia sana

mwanabhonga
 
Akili yako haina akili wewe imani yako ni Uislam inabidi tui heshimu na wengine ni Wakristo inabidi pia tui heshimu wengine kama sisi imani yetu ni ya ki Afrika inabidi tu heshimiwe na wengine hawana dini.. kwa kutojitambua unataka watu wote wafanane wawe waislamu..
Mbona walioponda ni wengi mjomba, ila sababu unamjua huyo sister ni muislamu basi alichoandika kina mahusiano na Uislamu. Hebu acha kuingiza dini maeneo yasiyohusika ndugu. Hapa inazungumziwa gharama za kaburi na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Ina maana waliocomment negative wote ni waislamu, mbona hujawaeleza chochote.
Siku zote ntaendelea kusema kuwa kuna watu hawastahili kuwepo humu JF, ila basi tuu. Utakuwa ishu ya kujadili, anaigeuzia kwenye dini, mara aigeuzie kwenye siasa, mara aitupie kwenye ukabila. Tutafika kweli kwa mwendo huu.
Kwa akili za kawaida na gharama za haraka haraka kutangaza kuwa kaburi limejengwa kwa milioni nne. Duh. Labda lina sebule, dinning na chumba cha kulala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiulize katika career aina ya aliyokua nayo Ruge ni wapi wana umaarufu kama wake

Anza na wakurugenzi wa vipindi na uzalishaji kwenye media zote Tanzania, hata zile ambazo ni kongwe zaidi ya clouds, utajua Ruge alikua charismatic, nyota, kila eneo la maisha kuanzia utotoni, shuleni, vyuoni, kazini lazima utakutana na watu wa tofauti, mnafanya kazi moja, mna deliver the same results lakini lazima kuna mmoja atakua tofauti na wengine.
 
Vijana oeni mtengeneze familia zenu,haya mambo ya umaarufu hata mke huna haileti picha nzuri wakati uwezo wa kufanya hivyo upo.

Maisha mafupi sana haya.

Hizo mambo sijui Kaburi la Mil 4 hizo mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom