TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kwa taarifa yako, hapo kutakuwapo na Mwakilishi wa Serikali,

Usishangae kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaama akiwa wa kwanza kushika maiki msibani na kusema sina na sikuwa na matatizo na Ruge,

Usishangae wasanii waliomponda wakajazana sana pale na kusema kwamba bila Ruge tasnia ingekuwa nyuma

Ntamshangaa sana hata bwana Yule akatuma rambi rambiiiii
 
Doh! Wallah hili jambo halina ujanja M/Mungu na aendelee kuhimidiwa /kutukuzwa.Pumzika mwanaharakati.
 
Tangulia chifu tunakuja huko - kila nafsi itaonja mauti..Haya ni maagizo ya Mwenyezi Mungu hakuna wa kukwepa.

Kilichopo ni sisi tuliobakia kuishi kwa kumpendeza Muumba wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…