TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nafsi na roho yake; vipate mzunguko mpya katika mwendelezo wa uumbaji wa viumbe.
 
Figo ni kitu kingine mkuu. Nilishaona mtu wa karib akiondoka sababu ya figo. Aliteseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]huu ugonjwa mbaya jamani....I lost my sisy naona kwa macho yangu aiseee.. within 3 months kuugua na kufa...ugonjwa katili sana

Apumzike kwa amani...ngumu kuamini
AKapumzike ameteseka imetosha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafsi na roho yake; vipate mzunguko mpya katika mwendelezo wa uumbaji wa viumbe vyote hai vijavyo.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]huu ugonjwa mbaya jamani....I lost my sisy naona kwa macho yangu aiseee.. within 3 months kuugua na kufa...ugonjwa katili sana

Apumzike kwa amani...ngumu kuamini
Kapumzike umeteseka imetosha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepoteza mama kwa sababu ya huu ugonjwa, ogopa unakaa ndani na mgonjwa mnasubiri afe.

[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Mungu amrehemu Ruge..kijana smart aliefanya kazi kwa ubunifu mkubwa katika eneo lake alilolipenda sana.
Tunamshukuru Mungu kwa kumleta Ruge hapa Tanzania..lakini zaidi kwa kumpa kipaji maridhawa cha kubuni mambo mengi yaliyowainua wengi.
Mapungufu yake ni kawaida kwa wanadamu msameheni wale aliowakwaza.Aliyoifanyia Tanzania nchi yake ni makubwa kuliko hayo.

Ruge asante kwa mchango wako maridhawa..lala salama kyoma.
 
Back
Top Bottom