Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
49 sio kijana. Wewe utakuwa mzee unajaribu kuhalalisha kuwa 49 ni kijana damu mbichi.
Ndo dunia, binàadamu leo kazi M/Mungu tumejipa sisi.Yaani watanzania wanajua kila msiba umesababishwa na mtu.
Mwaka 2016 mama alifariki kwa tatizo la figo na ini kufeli sijui na mimi nianze kutafuta aliyemuua.
Nimepoteza mama kwa sababu ya huu ugonjwa, ogopa unakaa ndani na mgonjwa mnasubiri afe.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Kaka asante ngoja niufuatilie maana n hatarWith Kidney failure, sitashtuka sana! Siombi hayo lakini ule ugonjwa si mzuri katu. All metabolic wastes have no exit outside the body!
Pole sana.Pole jamani
Ila huyu bwana kaniuma jamani
Apumzike kwa amani......milele na milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa mbaya sana. Asante [emoji120] [emoji120].
Siyo tu mashuhuri bali kipenzi cha wananchi.Pole sana mkuu......kwani na yeye alikuwa mtu mashuhuri?