TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini kule bukoba vifaa vya ujenzi viko juu kwa hiyo tuseme mil 2 nusu yake ndo inastahili[emoji41][emoji41][emoji41] ..mf kuna kipindi nilikuwepo maeneo ya uko cement wanauza mpaka 22000 kwa mfuko
Sasa mkuu tufanye hesabu za haraka haraka mfano tofali 2000 Tshs x 150 = 300,000, Cement 22,000 Tshs x 10 = 220,000, Tiles box 25,000 x 20 = 500,000, Maji 100,000Tshs, Fundi 250,000 vibarua 30,000 Γ— 4 = 120,000 kutengeneza zege la kusakafia juu i.e 250,000 yani hapo jumla ni 1,390,000 Tshs pia unatakiwa ujue huko ni kijijini vitu sio gharama kubwa hata useme uzizidishe gharama hizi mara mbili milioni 3 haifiki hio milioni nne inakuja vipi?
 
Hongereni sana waislam mfalme na rais wa abudhabi sheikh zaid al nahyan ni mfalme wa united arab emirates mwenye sifa nyingi sana duniani mwenye ukarimu mkubwa sana na mwenye visima vya mafuta alipozikwa alizikwa kwa kitambaa alichufinikwa nacho ni sanda nyeupe gharama yake labda ni elfu ishirini za kitanzania
 
yoyote ataejihusisha na wasanii atakuwa maarufu ,narudi yeyote ndo maana saidi fella ni maarufu kuliko nusu ya wabunge wote ,hata wewe nikikuuliza mkuu wa mkoa wa katavi ni na utaenda google,lakini nkikuuliza said fella ni nani unajaza ukurasa.sio kwamba said fella ni charismatic ni aina ya kazi anayofanya ,kuna mdogo wangu amepata kazi trip a FM jana naangalia account yake instagram ina followers 78,000 Je dogo nae ashakuwa successful au sjui charismatic ,trump ni rais wa nchi tajiri mwenye nguvu lakini hawezi ukuta umaarufu wa jet li au Anorld shwarznegger
 

Sio kwa kunichamba huko jamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Si ndio maana nakupenda sasa? Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kufurahia alichokifanya Zama. Ule ulikuwa utoto wakati mtu mzima kileja yule.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wahaya juuπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ wengine hela hamna
Siti ya mtu
 
Aiseee upo?? Siku nyingi sana na binamu warumi nafurahi kiwaona wana jamvi Dinazarde sijui yuko wapi hat.

Nipo mpendwa, dah imekuwa kitambo sana. Itabidi siku tuanzishe thread tukutane wambea wote tupeane ubuyu maana mida wote huu naamini kila mmoja kapu lake la ubuyu limejaa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Uwiiiiiiii jamani nimechekaaaaaa! Nimecheka kama kichaa, loooh bibie sio kwa kuvunja huko kiuno na tumbo lake.
Uke wenza una mambo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimecheka sana jamaa

Ila ni kweli, hawa jamaa wanajua kaz yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…