TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini kule bukoba vifaa vya ujenzi viko juu kwa hiyo tuseme mil 2 nusu yake ndo inastahili[emoji41][emoji41][emoji41] ..mf kuna kipindi nilikuwepo maeneo ya uko cement wanauza mpaka 22000 kwa mfuko
Sasa mkuu tufanye hesabu za haraka haraka mfano tofali 2000 Tshs x 150 = 300,000, Cement 22,000 Tshs x 10 = 220,000, Tiles box 25,000 x 20 = 500,000, Maji 100,000Tshs, Fundi 250,000 vibarua 30,000 × 4 = 120,000 kutengeneza zege la kusakafia juu i.e 250,000 yani hapo jumla ni 1,390,000 Tshs pia unatakiwa ujue huko ni kijijini vitu sio gharama kubwa hata useme uzizidishe gharama hizi mara mbili milioni 3 haifiki hio milioni nne inakuja vipi?
 
Hongereni sana waislam mfalme na rais wa abudhabi sheikh zaid al nahyan ni mfalme wa united arab emirates mwenye sifa nyingi sana duniani mwenye ukarimu mkubwa sana na mwenye visima vya mafuta alipozikwa alizikwa kwa kitambaa alichufinikwa nacho ni sanda nyeupe gharama yake labda ni elfu ishirini za kitanzania
 
Jiulize katika career aina ya aliyokua nayo Ruge ni wapi wana umaarufu kama wake

Anza na wakurugenzi wa vipindi na uzalishaji kwenye media zote Tanzania, hata zile ambazo ni kongwe zaidi ya clouds, utajua Ruge alikua charismatic, nyota, kila eneo la maisha kuanzia utotoni, shuleni, vyuoni, kazini lazima utakutana na watu wa tofauti, mnafanya kazi moja, mna deliver the same results lakini lazima kuna mmoja atakua tofauti na wengine.
yoyote ataejihusisha na wasanii atakuwa maarufu ,narudi yeyote ndo maana saidi fella ni maarufu kuliko nusu ya wabunge wote ,hata wewe nikikuuliza mkuu wa mkoa wa katavi ni na utaenda google,lakini nkikuuliza said fella ni nani unajaza ukurasa.sio kwamba said fella ni charismatic ni aina ya kazi anayofanya ,kuna mdogo wangu amepata kazi trip a FM jana naangalia account yake instagram ina followers 78,000 Je dogo nae ashakuwa successful au sjui charismatic ,trump ni rais wa nchi tajiri mwenye nguvu lakini hawezi ukuta umaarufu wa jet li au Anorld shwarznegger
 
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.

Sio kwa kunichamba huko jamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Si ndio maana nakupenda sasa? Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kufurahia alichokifanya Zama. Ule ulikuwa utoto wakati mtu mzima kileja yule.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aiseee upo?? Siku nyingi sana na binamu warumi nafurahi kiwaona wana jamvi Dinazarde sijui yuko wapi hat.

Nipo mpendwa, dah imekuwa kitambo sana. Itabidi siku tuanzishe thread tukutane wambea wote tupeane ubuyu maana mida wote huu naamini kila mmoja kapu lake la ubuyu limejaa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Uwiiiiiiii jamani nimechekaaaaaa! Nimecheka kama kichaa, loooh bibie sio kwa kuvunja huko kiuno na tumbo lake.
Uke wenza una mambo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
Nimecheka sana jamaa

Ila ni kweli, hawa jamaa wanajua kaz yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom