Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Huyo mwanamke wa Ruge hapo anadanse kavaa mashati ya Ruge,anamlingishia Zama.Nimependa matumbo yao tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke wa Ruge hapo anadanse kavaa mashati ya Ruge,anamlingishia Zama.Nimependa matumbo yao tu.
Sasa mkuu tufanye hesabu za haraka haraka mfano tofali 2000 Tshs x 150 = 300,000, Cement 22,000 Tshs x 10 = 220,000, Tiles box 25,000 x 20 = 500,000, Maji 100,000Tshs, Fundi 250,000 vibarua 30,000 × 4 = 120,000 kutengeneza zege la kusakafia juu i.e 250,000 yani hapo jumla ni 1,390,000 Tshs pia unatakiwa ujue huko ni kijijini vitu sio gharama kubwa hata useme uzizidishe gharama hizi mara mbili milioni 3 haifiki hio milioni nne inakuja vipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini kule bukoba vifaa vya ujenzi viko juu kwa hiyo tuseme mil 2 nusu yake ndo inastahili[emoji41][emoji41][emoji41] ..mf kuna kipindi nilikuwepo maeneo ya uko cement wanauza mpaka 22000 kwa mfuko
Hahahaaaaaa aiseeeee ila wanawake tuna kazi kweli haya baada ya hapo??? Nini faida yake?? Ila wadada wa mujini sijui wana nini jamaniHuyo mwanamke wa Ruge hapo anadanse kavaa mashati ya Ruge,anamlingishia Zama.
Mimi kazi yangu kucheka tu nikisoma komenti za kikekike humu yaani full episode.Huyo mwanamke wa Ruge hapo anadanse kavaa mashati ya Ruge,anamlingishia Zama.
Fundi ni mhaya?? Una uhakika??Sawa waHAYA kwa misifa japo yaeza kuwa kweli
Fundi kahojiwa na waandishi! Sio kwamba familia imetangaza rasmi. Acheni kupindisha mambo bhanaKuna vitu vingine ni fedheha kuvitaja. Kwanza unafanya hivyo ili iweje? Shit
yoyote ataejihusisha na wasanii atakuwa maarufu ,narudi yeyote ndo maana saidi fella ni maarufu kuliko nusu ya wabunge wote ,hata wewe nikikuuliza mkuu wa mkoa wa katavi ni na utaenda google,lakini nkikuuliza said fella ni nani unajaza ukurasa.sio kwamba said fella ni charismatic ni aina ya kazi anayofanya ,kuna mdogo wangu amepata kazi trip a FM jana naangalia account yake instagram ina followers 78,000 Je dogo nae ashakuwa successful au sjui charismatic ,trump ni rais wa nchi tajiri mwenye nguvu lakini hawezi ukuta umaarufu wa jet li au Anorld shwarzneggerJiulize katika career aina ya aliyokua nayo Ruge ni wapi wana umaarufu kama wake
Anza na wakurugenzi wa vipindi na uzalishaji kwenye media zote Tanzania, hata zile ambazo ni kongwe zaidi ya clouds, utajua Ruge alikua charismatic, nyota, kila eneo la maisha kuanzia utotoni, shuleni, vyuoni, kazini lazima utakutana na watu wa tofauti, mnafanya kazi moja, mna deliver the same results lakini lazima kuna mmoja atakua tofauti na wengine.
Wewe nae unapotea sana siku hizi, halafu sijui why JF nimekuwa mzito kweli kweli kuingia..Msiba ndio umenileta leo maana insta naona hapana issue, nilitaka kujua watu wanasemaje kuhusu mjane mjuaji, maana huyu mvujisha siri za baba watoto nilimtapika kabisa.
Uwiiiiiiii jamani nimechekaaaaaa! Nimecheka kama kichaa, loooh bibie sio kwa kuvunja huko kiuno na tumbo lake.
Uke wenza una mambo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimecheka sana jamaaclouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"
UmemalizaWahaya huu msiba wa ruge wameukunia nazi
Unataka kutwambia marehemu alikua kula kulala? Kwa wazaz auWakati mpaka sasa hakuna anayepajua nyumbani kwa marehemu miaka 49 kuishi kwa wazazi lazima kuna tatizoHiyo pesa ingesaidia watoto wake wanaosoma