TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Kuna wengine hawajali cha picha nzuri wala nega[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....ndo keshafariki sa so hata mkimsema kisa hajaacha familia haisaidii
Vijana oeni mtengeneze familia zenu,haya mambo ya umaarufu hata mke huna haileti picha nzuri wakati uwezo wa kufanya hivyo upo.

Maisha mafupi sana haya.

Hizo mambo sijui Kaburi la Mil 4 hizo mbwembwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajaribu kuwadanganya watanzania na kuwasahaulisha juu ya uvamizi wa Bashite kwenye studio zake na sheria haikuchukua mkondo wake.
Utawala huu unapingana na dhana ya rule of law, sasa wanatafuta pa kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakushangaa.unapomuwazia.huyo jamaa kuja kuwa rais wa tz.hivi.unaota mzee..
 
Msiba hauwezi kuwa overrated, ni maisha aliyoishi marehemu ndo yakiwa promoted basi watu wanarespond kwenye msiba. Haiwezekani mtu mradi ni Mtu kafariki halafu awe overrated na watu watoke majumbani kujazana barabarani.
 
Ni utamaduni, desturi Na tamaduni zetu kusema mazuri tu hata kama kuna mapungufu Kwa marehemu, huu utamaduni mnaotaka kuuleta ni utamaduni Wa ajabu Na haukubaliki. Naamini hata kwenye dini zetu huu utaratibu Wa kumsema vibaya marehemu haukubaliki. Na kuhusu kusifiwa MTU akishakufa ni jambo la kawaida hata wewe ukifa utasifiwa, hatuwezi kuzuia watu kueleza sifa za mtu eti kwasababu ameshakufa.
 

Nafikiri inabidi tuelewane kitu kimoja,

Kusema mabaya ya marehemu tafsiri yake ni kwamba umefurahia kifo chake,

Na ninavyoamini mimi mchawi na mwanasiasa pekee ndo anafurahia kifo cha mtu,

Sitaki tuyaseme mabaya ya mwamba

Ila tuache ku-overrate kiasi hiki

Kwa sababu inafikia hatua sasa mpaka watu wana kufuru

Tukisema alikuwa mtu mwema na alisaidia watu Mungu amhifadhi mahala pake inatosha na sio kuanza kumpa majina asiyostahili

Ni mpumbavu pekee atakayeunga mkono kuitwa bab wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…