TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Inna lilah wainna ilaih rajiuun, Msiba huu ndio msiba pekee ambapo wanafik watajulikana.
 
Poleni sana wana familia, ndugu, jamaa, na marafiki kwa msiba huu. Mungu ailaze pema roho ya marehemu Ruge. Amina.
 
Hakika kifo ni fumbo.....
Let's celebrate his life....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Ruge Hakuna atakayeishi milele. Mungu ni mwema awape wafiwa faraja katika hiki kipindi kigumu hasa watoto wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…