TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Nandy kutembea na mtu anaemzidi hivyo kulikoni?? ndo maana amekaa kwenye safu za bebi mamaz wa ruge?

Dah [emoji23][emoji23] hata sijui kwa nn na yy hakumzalia mwenzie. Angebakia na kumbukumbu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umewaambia vizuri

Hahaha tuandamane sie tulie sie waumie wao

Hizo kazi wanazifanya saa ngapi ilhali muda wote wapo kwenye kideo na mitandaoni kufatilia waombolezaji wanaomboleza vipi??

Wivu tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna wabongo wengine mpaka umpeleke Ugali na Maharage akale na familia yake yeye pekee ndio atakuona umefanya jambo jema.

Hawezi kuona jema utakalofanya kwa mtu mbongo mwenzake.

Ubinafsi wa kiwango cha rami..Mungu tusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kuta nao wanashirika.
 
Kiranja Mkuu akawa wa kwanza kuujulisha umma wa watanzania kuhusu msiba,na kujihusisha full..Mwenzake akapewa special recognition(lol).haya bana..Walijua ndio wakati muafaka wa kuuza sura Nchi nzima kwa wakati mmoja.Attention na sifa wamezipata.Hongera zao.Ama kweli kufa kufaana..
Stay blessed
 
Jiwe walilolikataa waashi kwa hakika limekuwa jiwe kuu la msingi.


iPhone 7plus
 
Walimshitaki kwenye mahakama ipi kwa huo unyonyaji? Na wewe ni miongoni mwa makopo ya Dudubaya? Acheni watu wamsifie wapendavyo kama haikuhusu unakausha.
 
Kama hadi kahaba kama Mange Kuna wajinga wanamu-address Ni dada wa taifa hili,nini Ruge?
 
mkuu hata wewe, dunia ya habari na taarifa haujui role ya Ruge nchi hii

hivi maofisini mnafanyaje kazi kama hamuwezi kufanya simple research tu?

Nasema bila kupepesa macho Ruge wa kawaida sana tena sana.
 
Watu waliolikuza hawana taswira nzuri kwenye jamii, hivyo wametumia tukio hilo kutaka kujionyesha ni watu wema. Kwa sasa kuzikana kunaangalia itikadi, hivyo huyo kwakuwa hakuwa wa siasa za majukwaani ndio ametumika kutakatishia nyota zao.
Acha uongo bwana.huo ni muono wako

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Acheni kuimba wimbo kwa mkumbo tuambieni alichowafanyia marehemu Ruge mpaka kumpa sifa si zake.

Acheni kukufuru, acheni kujipendekeza, hata Mungu hawaelewi kwann mnampa sifa ambazo si zake!

Binafsi namuona Ruge ni mfanyabiashara kama Dialo au Mama Rwakatare maana wote ni wajasiriamali.

Kama huna alichokufanyia na bado unamsifia basi kwenye kundi la wanafiki nawewe umo.

Eti kaka wa Taifa hata aibu hamuoni? Labda mngesema kaka wa clouds.
 
Cement, yale matofali na zile tiles za bei poa ndo inafika 4,000,000 hawa wangejenga kaburi kama la H.I.D Awolowo kaburi lenye Air Condition wangesema kaburi limefika 50,000,000
ulishajenga mkuu, hata kivanda cha kuuza ndizi t?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…