TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mwache Ruge aenziwe ni Mtanzania aliyeamsha bongo zikizolala. Akitembea nchi zima kukumbusha vijana kuwa fursa zipo wasikimbilie kulaumu, kuzamia n.k. Kuwaenzi wakina mama kwa njia tofauti kabisa na mengine mengi.

Alipromote mawazo chanya bila ubaguzi. Kama wewe hulioni hilo wengine wameliona na tunashukuru serikali imeliona. Tangulia Ruge.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ni nani? Sema baadhi ya viongozi kwa wanalolijua wao. Ilipovamiwa Clouds mbona hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya waliomvamia tunaye mtukuza leo!
Dudubaya aachiliwe, mbona hafikishwi mahakamani?
Aliishaachiwa kwa kigezo kuwa katoroka Central ha ha!
 
Amina amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yako
 
Kwangu mimi bila unafki huyo jamaa hajanisaidia kwa lolote kwahio namtakia safari njema huko aendako tu. I also find msiba umekuwa too freaking much. Hakuna ambae hajafiwa ila maombolezo kufanywa kama ni Catastrophic issue inanipa ukakasi flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…