TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Mbona mi naona ni picha tu hiyo wamepiga,au kuna mtu ameona msiba hapo
 
Kwa kushirikiana na joseph kusaga waliweza kufungua radio clouds miaka ya 99 ambapo imeniburudisha na kunielimisha.
Aliratibu tamasha la fiesta, ambalo lilipoanza nilikuwa nazunguka nalo huku biashara kubwa ilikuwa ni kuuza viberiti, sigara, soda na maji, vitambaa vya jasho nikameki mkwanja wa kutosha.
 
Back
Top Bottom