TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Ovyooo warumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww ni shushushu la CMG, si bure[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku lowassa akifa nitawekwa ndani kama dudubaya maana yule ni malaya wa siasa na nitalisema siku akifa
 
Hamjaelewa sababu za CCM kuufanya msiba huu kuwa wa kitaifa? Kulikuwa na mjadara mkali unaendelea has a juu ya kuporomoka kwa shilingi ya Tz na uvamizi wa maduka na uporaji wa Mali za wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni. Wamefanikiwa kufifisha mjadara huo na Sasa ni kama umekufa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi vijana wa Zamani tunajua Saida alitolewa na Mmiliki wa zamani wa Ukumbi wa FM zamani ukiitwa Lang'ata Social Hall, Mzee Felician Muta. Saida akazidiwa Ujanja na baadae akapotea, akarudi tena juzi juzi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wamekataza wanahabari kuchukua picha anagalau ya mnato ndani ya jeneza najua si vyema lakini nadhani kuna tatizo kwenye ule mwili wadaku mtujuze
 
Hakuna aliyetengwa. Ukiangalia vizuri huyu mkubwa anajitegemea na ana maamuzi fulani kuhusu msiba wa baba yake . Ila hao wadogo mpaka usimamizi wa hali ya juu toka kwa mama zao. Maana mashangazi na baba wadogo/wakubwa pia wanafamilia zao ila hapo akili zipo kwa ndugu yao aliyewaacha hivyo hawataweza kuangalia hao watoto wadogo huku wakifatilia shughuli za msiba.
Ila jmn mbona wale watoto wadogo ni km familia imewatenga, naona mtoto mkubwa ndio yuko nao karibu.
Wale wengine mpk muda huu bado sijawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wa ajabu sana.... Barnaba kile kilio ni zaidi ya kufiwa na Mzazi
Unafiki tu hakuna lolote. Siku zote mtu akifa huwa anakua mzuri.
Kuna watu walifiwa na wazazi wao, ndugu, jamaa na wapenzi wao hata hawakulia lkn huyu nao wanajifanya wanauchungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…