TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hivi Ruge atazikwa kikristo au kihaya?
 
Mwanamziki nandy au African princess Leo wakati wakutoa heshima za mwisho msibani ameshindwa kusimama Na kujikuta akidondoka chini.

Ikumbukwe mwanamziki nandy alikuwa chini ya usimamizi wa marehemu ruge .pia ruge alikuwa ni mzazi wa nandy kisanaa.

Watu wengi walitokwa Na machozi pale mrisho mpoto alipo simama Na kuimba kwa uchungu.

Tazama matukio yote apa chini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…