TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Huu jamaa kabla ya umauti hata robo ya watanzania walikuwa hawamjui baada ya umauti wanatumia NGUVU nyingi kulazimisha watu wa mjue!
Clouds naomba ife tu na mkitoka msibani kuanza kudeal na wasanii ambao jawajapost huo msiba.
 
wewe uli ishi na marehemu kama alikuwa anatoa michango ana udhuria ibada wao sio wajinga
 
OG
Ndio anapoonyesha hawezi kubadilika.. eeeh. Kwenye main acc yake wanapenda kumuomba atoe posts.. kumbe yupo kama kawa.

Nandy kweli ajikalie mbali nae.. asianze kumkimbilia kumsalimu. M anapenda kuwa ana abudiwa sanaaaaaa n.k.
 
Huu jamaa kabla ya umauti hata robo ya watanzania walikuwa hawamjui baada ya umauti wanatumia NGUVU nyingi kulazimisha watu wa mjue!
Clouds naomba ife tu na mkitoka msibani kuanza kudeal na wasanii ambao jawajapost huo msiba.
 
Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange

Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki

Mtumikieni Mungu ikiwezekana hiyo redio muibadilishe iwe ya Dini na sio mnasubiri watu wage eti tuwaombee...

That doesn't work at all.

Hiyo Redio inafanya kazi ambazo obvious zinampinga Mungu, nashangaa kwa nini mnamchukulia Mungu kama mjomba wenu.
 
Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange

Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki
OG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.
 
Madame hujisikii vibaya anavyomtukana mwenyekiti wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team yake haitaki kuamini hili jambo,ipo siku wataamini tu.

Mzungu alishamtema zamaani ndo maana akarudi kasi kuanza kufatilia maisha ya watu. Siasani hata akirudi hana pa kushikilia,wapinzani ndo hivyo tena hawaeleweki
 
Huu jamaa kabla ya umauti hata robo ya watanzania walikuwa hawamjui baada ya umauti wanatumia NGUVU nyingi kulazimisha watu wa mjue!
Clouds naomba ife tu na mkitoka msibani kuanza kudeal na wasanii ambao jawajapost huo msiba.

mbona haujiamini

una post mara mbili mbili

clouds ni redio binafsi na wanayoyafanya ni YAO. Kwa akili hii wewe maskini wa ngudu ukifa hata mmbwa wako watashangilia na nyumba ya tatu hawatajua kuwa umekufa! una roho mbaya

acha wivu..wewe ndio ulikuwa haumjui Ruge!

kwa mwaka wa 10 sasa clouds inangoza kusikilizwa nchi nzima KULIKO REDIO YEYOTE ILE, vipindi vyake vikali na watangazaji wazoefu..unaachaje kumjua ruge? au hauna redio nyumbani?

acha wivu potezea bana, HII NI WAO, NA YAO, na issues ZAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…