Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Zama zile clip za Ruge alizorusha hajui kua ni chanzo cha ugonjwa wa Ruge?!Waume zao sawa ila kwamba wao wamefurahi sidhani, ukizingatia marehenu alikuwa anatoa matunzo ya watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmhHivi Zama zile clip za Ruge alizorusha hajui kua ni chanzo cha ugonjwa wa Ruge?!
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe uli ishi na marehemu kama alikuwa anatoa michango ana udhuria ibada wao sio wajingaWameenda na wametoa ushuhuda mzuri juu ya matendo ya marehemu tena ndani ya mavazi ya kiaskofu, na walitambulishwa kama maaskofu..Huu waliofanya ni ujinga tu.. Mimi ni mkatoliki na naamini ktk kutii sheria za kanisa sana tu, ila kama angekuwa mtu wa hapo kijijini wanae mfahamu lakini hatii sheria wangeenda kama watu wa kawaida? Au na kanisa linjiendesha kisiasa? Wamepotoka.
Soon utaujua ukweli mbona hakuna aliyetarajia kuwa semausikike ni recho. OG ni mange basi tu huko live anaazima mtu kuua soo. Hata kama ni mfuasi sio vile
Mange kamchukia tununu same to OG. Adui woooteee wa mange ni adui wa OG pia.
Kumsupport nandy ni mkakati wa muda tu nae atamgeuka pale asipotimiza akitakacho
OG
Ndio anapoonyesha hawezi kubadilika.. eeeh. Kwenye main acc yake wanapenda kumuomba atoe posts.. kumbe yupo kama kawa.
Nandy kweli ajikalie mbali nae.. asianze kumkimbilia kumsalimu. M anapenda kuwa ana abudiwa sanaaaaaa n.k.
OG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange
Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki
Madame hujisikii vibaya anavyomtukana mwenyekiti wako?OG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.
sijakuelewawewe uli ishi na marehemu kama alikuwa anatoa michango ana udhuria ibada wao sio wajinga
OG mbona ni Mange kabisa,hilo halina ubishi japokuwa anajitahidi kufool watu. Ila faida gani sasa,huku anamnanga zama kule main anamtetea. Halafu Mange inaonyesha kishatemwa na yule mzungu. Ila natamani mange arudi kwenye siasa walau alikuwa anaishake serikali.
Huu jamaa kabla ya umauti hata robo ya watanzania walikuwa hawamjui baada ya umauti wanatumia NGUVU nyingi kulazimisha watu wa mjue!
Clouds naomba ife tu na mkitoka msibani kuanza kudeal na wasanii ambao jawajapost huo msiba.