TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Tuanzie hapa hata kuandika hujui pamoja na kuwa mtu mwenye cheo huko clouds.
#mpoto wewe
 
Na uskute kuna kitu anatafuta kwa nandy...ambacho maybe kinahusiana na mahusiano yao ye na marehemu
Umeona eee ukweli mchungu kuna watu hawataki kuamini ila ndo hivyo OG ni mange

Na nandy soon ataingia mtegoni kama mange aliweza mdaka zama hadi akavujisha vile saut za R hawezi mkosa nandy kipindi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh kwann unahisi katemwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa! Mkuu nadhani hiyo mida nitoka kupiga pombe nyingi sana, tatizo nilikuwa nachanganya K Vant na beer, so i was a little bit sarcastic lakini hata hivyo, mada ilikuwa ni kati ya Lissu na marehemu ni nani kaigusa sana jamii, ndiyo ilikuwa topic, najaribu kuitafuta taratibu maana topic karibu zote za Ruge zimeunganishwa,

Lakini hata hivyo, hukustahili yale matusi ya pumbavu, naomba samahani kwa hilo.
 
Kwa heshima zote za kiserikali na kibinadamu na mapokezi aliyopata Marehemu Ruge, alisitahili kuzikwa kwa ibada kuendeshwa na Katekista?

Ukitilia maanani ukaribu wa familia ya marehemu na Askofu M. Kilaini, Ujirani uliopo kijijini kati ya Askofu na Prof. Mutahaba na Mazingira ya mwamko wa kidini ya RC uliopo hapo kijijini

Aidha, Ujirani na Parokia yake ya Itahwa na Ushiriki wa viongozi hao wa dini katika kuaga mwili wa Marehemu hapo Bukoba Club/Gymkhana

Mwisho wa Mwisho ibada ya mazishi ikaishia kuendeshwa na Katekista ikishuhudiwa viongozi hao wa Kanisa kushindwa kushiriki ibada hiyo.

Kwanza Sio utamaduni wa eneo hilo kwa mtu kama wa aina ya Mutahaba.

Mwisho wa Ruge imekuwa simanzi kubwa kwani mbwembwe za mitaani zimezimwa na Kanisa lake.

The very last RESPECT imeua yote.
 
Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.

Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.

Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.

Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
 
Hata angezikwa na papa au na mwalimu wa madrasa kwake haina faida yoyote.

Hayo mengine ni mambo ya kidunia tu hayana lolote kwa marehemu
Huko ni kujipa sympathy tuu...

Ni heshima kwa familia aliyoicha na kama kusema ni heshima kwake kwa aliyoyaacha hapa duniani kama angezikwa na Kanisa....


Wakristo Wakatoliki Jumuiya ndogo ndogo ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…