TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Huko ni kujipa sympathy tuu...

Ni heshima kwa familia aliyoicha na kama kusema ni heshima kwake kwa aliyoyaacha hapa duniani kama angezikwa na Kanisa....


Wakristo Wakatoliki Jumuiya ndogo ndogo ni muhimu sana
Unazungumzia ni heshima kwa Ruge au kwa waliobaki?

Kama ni heshima kwa marehemu Ruge mbona sasa hatoweza kujua kazikwa na nani hivyo hata haisaidii kwake.

Kama ni heshimu kwa waliobaki mbona haina maana yoyote kwao
 
Umeeleweka vizuri mkuu,niongezee kitu kidogo,Pia Ruge kwa kuumwa muda mrefu nadhani alipata fursa na wasaa wakutubu nakujirudi kwa Mungu wake,kwahiyo possible jamaa anaweza tunaweza mkuta ktk pepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge na Kingunge wote sawa. Hawakulijua kanisa wala kuishi imani yao. Maziko waliyoyapata ndiyo heshima waliyostahili. Hakuna Misa Takatifu ya mazishi. Ni Sala tu ya kuongozwa na Katekista. Ndilo Kanisa Takatifu, Katoliki la Mitume. Halibagui wala kupepesa macho. Safi sana. Fanya fiesta lakini kumbuka kusali na kuhudhuria Misa Takatifu.
 
Tokea msiba wa huyu ndugu sijatia neno lolote hapa jf ama penginepo wacha tu nisema MWENYEZI MUNGU AMJALIE UZIMA WA MILELE ARUDIPO KRISTO ALIEMUAMINI NA KUMKIRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama ni hivo...then why ata uyo katekista alimuombea kama ni mazuri pekee ndo yatakayokupeleka peponi?
Why watu wanaombewa at all???

Ama ndo mnaendelea kumsafisha hata baada ya kanisa kumtenga?
 
 
kama alikuwa aendi kanisani wala kwenye jumuiya why azikwe kwa heshima ya kikatoliki??? ana watoto nje ya ndoa na pia pengine awajabatizwa why apewe asichostaili kama mkatoliki??
 
1. Anaeombewa na Padre au Askofu ndo anakwenda mbinguni?
2. Anaeombewa na Katekista ndo haendi mbinguni?
3. Unajuaje kama Marehemu alipata muda wa kuzungumza na Muumba wake na kutubu makosa yake kwa muda wote aliougua?
4. Hizo Kashfa ambazo Papa alikiri kufanywa na mapdre wa kanisa unasemaje?
5. Muache marehemu Apumzike kwa Amani.
6. Angalia maisha yako mtoto wa Kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…