TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Wabongo wanyime chakula, si majungu. Azikwe na askofu, padri, mchungaji, shehe ama katekista, roho yake imeenda mahali alipostahili, kilichozikwa ni mwili tu ambao utaoza na kuliwa na udongo
 
Heri kukaa kimya kuliko kuandika vitu usivyokuwa na uelewa navyo wa kutosha.

Mambo ya Mungu sio siasa mzee.
 
You are surely a poor and bad teacher.
Kuna nilicho ongopa hapo? Au wabakaji ni makadinali na mapadri wa Ulaya, Marekani, Australia, na Amerika ya kusini tu? Hawa wa Afrika na Asia i watakatifu? Ni mila na tamaduni zetu kandamizi ndo zinafanya waliobakwa hawajitokezi. Na naimani huu ubakaji unaendelea mpaka sasa.

Sishangai juzijuzi tu tumejuzwa ubakaji na unyanyasaji kijinsia unaendelea kushamiri Tanzania na wazazi kwa upumbavu wao wanamalizana kimyakimya na wabakaji.

Jana wanafunzi wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino Mwanza wametoka kumlilia Ole Nasha wananyanyaswa kijinsia kutakwa ngono na mtu waliyemtaja hadi kwa jina, kwa miaka 3 wanalalamika uongozi wa chuo hauchukui hatua.

Tukubali tusikubali, tuna mila potofu na kandamizi na kuna taasisi kubwa kama kanisa katoliki zinazitumia kuendeleza maovu...
 
Mtume Pasco,

Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taratibu za kanisa katoliki Ruge hakuwa na sifa ya kuzikwa na ibada ya ekaristi au misa. Ibada hiyo ndiyo nguzo kuu ya kanisa na ndiyo inayoliweka imara, licha ya misukosuko, kwa miaka zaidi ya elfu mbili. Ruge hakuwa mtiifu kwa kanisa au kwa kifupi alikuwa mkanamungu katika maisha yake hivyo ingekuwa ni kutomtendea haki kumshirikisha katika ibada ambayo hakuishiriki kikamilifu au kuiamini wakati uhai wake
 

Udaku tu wa mitandaoni
 
Kwahiyo ukifanyiwa misa takatifu ya mazishi hata ukiwa na dhambi unaenda mbinguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kusemea maisha ya watu, huna tofauti na yule mfarisayo aliejipiga kifuani akisema mumi sio kama hao wengine wacha kujikweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?
Ndiyo: twaweza kupunguza hata kuyamaliza kwa kuwasalia na kuwapatia rehema na hasa kwa kuadhimisha Misa kwa ajili yao. (2Mik 12:38-46)
 
Mi nikajua ile ibada mwishoni Huwa kwa waliobaki kumbe ukizikwa na katekista na sio askofu tayari kuna tatizo!
Katekista ni muumini wa kawaida kabisa kwa maneno mengine ni kwamba kazikwa na muumini mwenzake
 
Mtume Pasco,

Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?
Kwa umri wako wa kuweza kupost humu, kama ungekuwa Mkatoliki ungeshayafahamu yote haya na wala usingeulizia JF wakujibu. Naamini hutakuwa Mkatoliki wewe, na kama ni Mkatoliki, basi ni wa jina tu dizaini za Ruge
 
Kihaya tu inatosha,haya mambo ya Katekista,parokia,korintho sijui blablah kitaliano kingi mizimwi ya kihaya haiyapendi.
 
believers /religious fanatics are lazy and mental retarded...
Mijitu mizima humu jukwaani mnajadili pepo na jehanam vitu vya kufukirika fantasy..
Hakuna mungu kanisani/msikitini acheni uvivu wakufikiria na kupembua mambo mliyo karirishwa..
 
believers /religious fanatics are lazy and mental retarded...
Mijitu mizima humu jukwaani mnajadili pepo na jehanam vitu vya kufukirika fantasy..
Hakuna mungu kanisani/msikitini acheni uvivu wakufikiria na kupembua mambo mliyo karirishwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…