Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri kukaa kimya kuliko kuandika vitu usivyokuwa na uelewa navyo wa kutosha.Msianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Kuna nilicho ongopa hapo? Au wabakaji ni makadinali na mapadri wa Ulaya, Marekani, Australia, na Amerika ya kusini tu? Hawa wa Afrika na Asia i watakatifu? Ni mila na tamaduni zetu kandamizi ndo zinafanya waliobakwa hawajitokezi. Na naimani huu ubakaji unaendelea mpaka sasa.You are surely a poor and bad teacher.
Bottom line ni sadaka na mchango anakua hajatoa, jumuia mana yake ni michango.Huwa inatokea kama alikuwa hashiriki ktk jumuia ya anakoishi hiyo kwanza wamempendelea....huwa mtu wa aina yake hafanyiwi ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtume Pasco,Tena kuna wafia dini wa ajabu sana, Biblia zipo, maandiko yapo, mafundisho yapo, mfano mzuri ni kuhusu ibada za masanamu, watu wanawaaminia sana binaadamu, wanamtumikia shetani wakiaminishwa ni Mungu, bila wenyewe kujijua, sisi Wakatoliki tuliojitambua, tunamwelewa sana mtu kama Ruge kukataa ujinga ujinga fulani in the name of Catholic Church, zimewekwa sheria kibao ati usipofanya hivi, siku ukifa hatukuziki!.
Tena kitu cha ajabu ni wanafanya Cherry picking, kwa kuangalia status.
Angalieni msiba huu wa kigogo huyu walifanya nini na sikilizeni rais Magufuli alisema nini juu ya mtu huyu na bado alizikwa kwa heshima zote za kanisa, tena kwenye Hilo mimi meshauri
"Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?" - JamiiForums
P
Kwa taratibu za kanisa katoliki Ruge hakuwa na sifa ya kuzikwa na ibada ya ekaristi au misa. Ibada hiyo ndiyo nguzo kuu ya kanisa na ndiyo inayoliweka imara, licha ya misukosuko, kwa miaka zaidi ya elfu mbili. Ruge hakuwa mtiifu kwa kanisa au kwa kifupi alikuwa mkanamungu katika maisha yake hivyo ingekuwa ni kutomtendea haki kumshirikisha katika ibada ambayo hakuishiriki kikamilifu au kuiamini wakati uhai wakeMsianze...
Kinachomuingiza binaadamu mbinguni au motoni, sio misa yako ya wafu imeendeshwa na nani, au watu wamekulilia vipi, bali tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo.
Kwa mujibu wa the law of the karma, Ruge as of now, ameingia peponi straight kwa mengi mengi aliowatendea watu hapa duniani.
Siku ukifika mbinguni, unaweza kushangaa kuwaona hao maaskofu motoni, halafu yule Katekista ndio ukamkuta peponi.
Hata kimataifa, unaweza kumkuta Bush, Blair na Obama, upande wa chini wakiogelea kwenye lile ziwa la jehanum ya moto was milele, halafu ukashangaa kuwakuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiwa peponi wakienjoy.
P
Huko instagram wananzengo wanasema ruge kapewa sumu ya muda mrefu.
Ata alivyokwenda india walimuambia labda ajaribu SA matibabu.
Haikuwa tatizo la kubadili organ tu,
Wanasema alichukulia poa sana tatizo lake muda alioanza kuhangaika nje ilikuwa late
SIO MANENO YANGU , NMEONA INSTAGRAM kwa theoriginaleast
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukifanyiwa misa takatifu ya mazishi hata ukiwa na dhambi unaenda mbinguni?Ruge na Kingunge wote sawa. Hawakulijua kanisa wala kuishi imani yao. Maziko waliyoyapata ndiyo heshima waliyostahili. Hakuna Misa Takatifu ya mazishi. Ni Sala tu ya kuongozwa na Katekista. Ndilo Kanisa Takatifu, Katoliki la Mitume. Halibagui wala kupepesa macho. Safi sana. Fanya fiesta lakini kumbuka kusali na kuhudhuria Misa Takatifu.
Wewe huenda ulizaliwa ktk familia ya kkikatoliki ila wewe sio mkatolikiMtume Pasco,
Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kusemea maisha ya watu, huna tofauti na yule mfarisayo aliejipiga kifuani akisema mumi sio kama hao wengine wacha kujikwezaNeema is The Lord's Grace, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo
Karma ni hukumu ya haki kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako.
Kuokolewa kwa neema maana yake Mungu anatuona hadi ndani ya mioyo yetu na dhamira zetu. Hivyo kuna watu wanafanya mema ili tuu watu waone, lakini moioyoni mwao ni mashetani wakubwa. Hawa hata wafanye wema mkubwa kiasi gani, haijalishi.
Kuna watu with nothing, kama mimi nilivyo, ni masikini wa kutupa and yet I'm a rugged trousers philanthropist, Mungu anaona moyo wangu wa kusaidia. Hivi ndivyo alivyokuwa Ruge,
Ni peponi straight, by now tayari yuko mkono wa kuume wa Mungu Baba Mwenyezi, Muumba wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
P
Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?1. Sala ya Toba anaongozwa mtu???
2. Huyo anaeongoza Una uhakika yeye hana Dhambi??
3. Yule mnyang'anyi aliesulubiwa na Yesu msalabani lakini akatubu na kusamehewa dhambi alitubu moyoni au alisubiri mtu aje amuongoze kwa sala??
4. Wewe mwenyewe unapaswa kufanya Toba na Mola wako. Askofu, Mchungaji,Sheikh hana Mamlaka ya Kumuombea mtu msamaha
5.mtu akishakufa Kumbukumbu yake imesahaulika hata aje Paroko kumuombea hakuna kitu.
6. Hizo misa za kuwaombea Marehemu mnajisumbua tu. Nipe fungu la Biblia linalotaja Marehemu waombewe
Badala ya kuni attack mimi ungejikita nilichouliza kwa manufaa ya wengiwetu.Wewe huenda ulizaliwa ktk familia ya kkikatoliki ila wewe sio mkatoliki
We utakuwa mkatoliki wa madufuMtume Pasco,
Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajuaje kama kweli alipata kutubu?3. Unajuaje kama Marehemu alipata muda wa kuzungumza na Muumba wake na kutubu makosa yake kwa muda wote aliougua?
Katekista ni muumini wa kawaida kabisa kwa maneno mengine ni kwamba kazikwa na muumini mwenzakeMi nikajua ile ibada mwishoni Huwa kwa waliobaki kumbe ukizikwa na katekista na sio askofu tayari kuna tatizo!
Kwa umri wako wa kuweza kupost humu, kama ungekuwa Mkatoliki ungeshayafahamu yote haya na wala usingeulizia JF wakujibu. Naamini hutakuwa Mkatoliki wewe, na kama ni Mkatoliki, basi ni wa jina tu dizaini za RugeMtume Pasco,
Mimi ni mumini wa kanisa katoliki, kanisa kuna Sanam za bikria Maria naYesu kadhalika sala ya mama Maria utuombee sisi wanao! na kuna swala la kumuungamia Padri hili limekaaje?
V ndio nani jamani?Kati ya watu wapumb...v unaongoza