TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

LEAVE A LEGACY, Eric Thomas one of the best motivation speaker katika 1 ya speech zake anasema LEAVE A LEGACY (Acha urithi), anaendelea anasema Je kama ukifa leo hawa unaowaacha nyuma yako, una waachia nini?, Binafsi katika nafasi yangu kama mtu wa kawaida au kijana mwenye ndoto kubwa za kimaisha natambua na kuheshimu mchango mkubwa alioufanya Ruge, hasa kupitia madarasa ya fursa.. He was the real meaning of inspiration and He leave us a legacy, anaweza kua na mapungufu yake kama binadamu wa kawaida (mimi na wewe) lakini haipingiki legacy alioacha ni kubwa sana.

R.I.P Ruge, hakika kila nafsi itaonja mauti it just a matter of time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari tulishajadili humu kwani akizikwa dar kuna nini ardhi ni ardhi
 
RUGE AJAFARIKI KAPUMZIKA KWA AMANI TU.USISIKITIKE SANA.
 
Calm down bebii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious?! Hata kama Marehemu haswemwi mabaya; wewe ulitaka aendelee kuzalishwa bila ndoa hadi lini? Au kwavile Ruge alikuwa na pesa? Hivi alikuwa na sababu gani za msingi za kuendelea kumzalisha bila ndoa miaka yote hiyo? Acha kutetea ujinga wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…