Mpola muno
Maisha yetu ni mafupi sana
Kwanini Ruge kwanini!!!!
Natamani iwe ndoto tu
Ruge kaniuma mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hunizidi Mimi kwao na kwetu majirani
Mpola muno
Maisha yetu ni mafupi sana
Kwanini Ruge kwanini!!!!
Natamani iwe ndoto tu
Ruge kaniuma mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee, wasafi hawana bifu na CMG wala media yoyote kilichopo ni biashara haiwezekani hata siku sifuri Tigo watangaze matangazo ya vodacom au watume message zinazoihusu vodacom moja kwa moja.Daaaaah huko instagram wasafi wanaposti mishumaa kinafiki. So far rayvanny na dem wake ndo wameposti mishumaa ila bila hata caption. Boss mond ndo hana habari kabisaa. Daaah naona kwa wasafi bora wasiposti tu coz utakua ni unafiki wa hali ya juu. Ila dudubaya sijui atasema nn coz alisha mwombea ruge kifo tangu zamani sana. Pole zamaradi najua una account humu.
Lkn tuwe waungwana jaman huyu mzee ni kati ya watu walio na mchango mkubwa sana sema tu kila binadam ana weakness yake.
R.I.P Legend Ruge. You will be missed so much.
Rest easy.
Pole sana kapeace, Mungu akijaalie faraja kuu ndani ya nafsi yako.stay strong ,mara zote hili hubaki darasa kwetu sie tulio hai.
Kweli kabisa, Muhimu kujiandaa.
Acha ushamba wewe; nothing personal kati yao, it's business! Na ukiangalia sana ni "bifu" waliyoibariki wao kwa wao! Hivi hujiulizi Joseph Kusaga ambae ndie CEO wa Clouds ndie huyo ambae ni majority shareholder wa Wasafi?! Sasa hivi unashindwa kuunganisha dots na kujua what's behind?Daaaaah huko instagram wasafi wanaposti mishumaa kinafiki. So far rayvanny na dem wake ndo wameposti mishumaa ila bila hata caption. Boss mond ndo hana habari kabisaa. Daaah naona kwa wasafi bora wasiposti tu coz utakua ni unafiki wa hali ya juu. Ila dudubaya sijui atasema nn coz alisha mwombea ruge kifo tangu zamani sana. Pole zamaradi najua una account humu.
Lkn tuwe waungwana jaman huyu mzee ni kati ya watu walio na mchango mkubwa sana sema tu kila binadam ana weakness yake.
R.I.P Legend Ruge. You will be missed so much.
Rest easy.
Mmmhhh,Dah mbele yake nyuma yetu
Umeeleweka, rambirambi yako fikisha kwa ndugu wa karibu ikasaidie chochote.Kila Binadamu ni maarufu kwa namna yake bila kujali yupo wapi na anafanya nini au ana hadhi gani, isipokuwa tunatofautiana tu katika umuhimu na uwepo Wetu hapa duniani.
Ruge ni watanzania familia itakaposema au kama aliacha wosia sisi tunatekeleza..... KIkubwa Ruge ametimiza mengi kwa kuacha alama nzuri. JIna Ruge kamwe halitasahulika MIsiba mitatu iliyoniumiza Nyerere , Msiba wa waoto wa St Visent na Huu wa RugeTayari tulishajadili humu kwani akizikwa dar kuna nini ardhi ni ardhi