TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Hakika kila mwanadamu ni marehemu pale tu nafsi inapoonja umauti, pumzika mahala peponi Amina. Mungu wetu awatie nguvu,faraja na hekima wafiwa wote katika kipindi hichi kigumu cha majonzi mazito kwa kuondokewa na mpendwa wao.

Your legacy will live forever.
 
Attachments

Daaaaah huko instagram wasafi wanaposti mishumaa kinafiki. So far rayvanny na dem wake ndo wameposti mishumaa ila bila hata caption. Boss mond ndo hana habari kabisaa. Daaah naona kwa wasafi bora wasiposti tu coz utakua ni unafiki wa hali ya juu. Ila dudubaya sijui atasema nn coz alisha mwombea ruge kifo tangu zamani sana. Pole zamaradi najua una account humu.

Lkn tuwe waungwana jaman huyu mzee ni kati ya watu walio na mchango mkubwa sana sema tu kila binadam ana weakness yake.

R.I.P Legend Ruge. You will be missed so much.
Rest easy.
We mzee, wasafi hawana bifu na CMG wala media yoyote kilichopo ni biashara haiwezekani hata siku sifuri Tigo watangaze matangazo ya vodacom au watume message zinazoihusu vodacom moja kwa moja.
.
Ndio maana hata joe alihudhuria kwenye yatch party ya simba, ku_post mishumaa kwa Chuma na dem wake ni ku_acknowledge mchango wa Ruge alafu kupost insta sio ndo kuguswa na kilichotokea.
.
Lulu diva ni jirani kabisa na yaliyokuwa makazi ya marehem zilla kampost na baada ya siku mbili kaachia goma sasa jifunze kumpost marehem ata sio.ishu
 
Daaaaah huko instagram wasafi wanaposti mishumaa kinafiki. So far rayvanny na dem wake ndo wameposti mishumaa ila bila hata caption. Boss mond ndo hana habari kabisaa. Daaah naona kwa wasafi bora wasiposti tu coz utakua ni unafiki wa hali ya juu. Ila dudubaya sijui atasema nn coz alisha mwombea ruge kifo tangu zamani sana. Pole zamaradi najua una account humu.

Lkn tuwe waungwana jaman huyu mzee ni kati ya watu walio na mchango mkubwa sana sema tu kila binadam ana weakness yake.

R.I.P Legend Ruge. You will be missed so much.
Rest easy.
Acha ushamba wewe; nothing personal kati yao, it's business! Na ukiangalia sana ni "bifu" waliyoibariki wao kwa wao! Hivi hujiulizi Joseph Kusaga ambae ndie CEO wa Clouds ndie huyo ambae ni majority shareholder wa Wasafi?! Sasa hivi unashindwa kuunganisha dots na kujua what's behind?

Ile ni business strategy ya kufanya both companies zisilale bali zi-compete wao kwa wao; sasa akina nyie ndo mnaona kama kuna personal issues kati yao! Sasa kama Wasafi ni wanafiki, unataka kusema nini kuhusu Majizo?!

Uzuri ni kwamba, hata Ruge mwenyewe mambo kama haya anayafahamu na ndio maana kwenye migogoro mingi alikuwa anasisitiza "hii ni biashara"!
 
Kila Binadamu ni maarufu kwa namna yake bila kujali yupo wapi na anafanya nini au ana hadhi gani, isipokuwa tunatofautiana tu katika umuhimu na uwepo Wetu hapa duniani.
Umeeleweka, rambirambi yako fikisha kwa ndugu wa karibu ikasaidie chochote.

The beast
 
Tayari tulishajadili humu kwani akizikwa dar kuna nini ardhi ni ardhi
Ruge ni watanzania familia itakaposema au kama aliacha wosia sisi tunatekeleza..... KIkubwa Ruge ametimiza mengi kwa kuacha alama nzuri. JIna Ruge kamwe halitasahulika MIsiba mitatu iliyoniumiza Nyerere , Msiba wa waoto wa St Visent na Huu wa Ruge
 
Ruge amepata nafasi yakusema na Mungu wake wengi wetu hatutapata nafasi kama hiyo kwakua hatujui namna ya kufa kwetu
 
Back
Top Bottom