Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Sio internet alisema TechnologyOgopa vitu hivi viwili MUNGU na internet, R.I.P bro njia yetu sote ni moja [emoji22][emoji24].
Sent using Jamii Forums mobile app
Figo,figo,figo. Hivi ni luis figo au figo ambayo tunaelezwa inaweza badilishwa kwa kuinunua kwa mtu ama ndugu kuamua kukupa bure! Nakumbuka ugonjwa huu ulifichwa kiaina na tangia familia ilipoamua kujitokeza na kuomba msaada wa matibabu (ambayo kwa siku ilikua ni zaidi ya mikioni TANO). bu baaa hata siku tano hazijaisha ametangulia. Swali: NI KWELI RUGE ALIKUA ANAUMWA FIGO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli....Figo ni kitu kingine mkuu. Nilishaona mtu wa karib akiondoka sababu ya figo. Aliteseka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu hakuna chenye nafuu. Kikubwa ni kuombea uzima na afya njemaMkuu hivi vitu hutegemeana, moyo mtiti wake siyo wa mchezo mchezo, kichwa kikizengua napo matatani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wale wanaoamini kila umbea wa kwenye mitandao.Acha ushamba wewe; nothing personal kati yao, it's business! Na ukiangalia sana ni "bifu" waliyoibariki wao kwa wao! Hivi hujiulizi Joseph Kusaga ambae ndie CEO wa Clouds ndie huyo ambae ni majority shareholder wa Wasafi?! Sasa hivi unashindwa kuunganisha dots na kujua what's behind?
Ile ni business strategy ya kufanya both companies zisilale bali zi-compete wao kwa wao; sasa akina nyie ndo mnaona kama kuna personal issues kati yao! Sasa kama Wasafi ni wanafiki, unataka kusema nini kuhusu Majizo?!
Uzuri ni kwamba, hata Ruge mwenyewe mambo kama haya anayafahamu na ndio maana kwenye migogoro mingi alikuwa anasisitiza "hii ni biashara"!
Nahisi hujajua ubongo ulivyo muhimu.. In short ubongo ndo kitu selfish kwenye human body.. Yani ikiona hali haileweki kinazima kila kitu kinabaki yeye moyo na mapafukwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
kwenye mwili wa binadamu ogopa sana ini na figo kupata hitilafu...
Huzuni mkuuMmmhhh,
Nadhani umeigeuza,
R. I. P Ruge
Nahisi nimekosea